Mnyika anaipaisha Tanzania kidemokrasia mbele ya IPU

Ulisoma Hadi la ngapi dada
Yaani tangu wazungu wapate taarifa kuwa mliwakata vidole watu wasiokuwa na hatia nao wakasema kwendeni zenu na lolote liwapate.

Nadhani hata nyinyi mnashangaa kwanini IPU wanafanyia mkutano Tanzania, kwanini siku 30 zilizotolewa na commonwealth zimeisha lakini hakuna kitu wanafanya, kwanini nchi za EU bado zinashirikiana na Tz na hata wabunge wao wako Tz pia, kwanini ICC hawaji jemeni kukamata "wauaji".

Information is power, wazungu wenu wamepata taarifa sahihi kuhusu nyinyi na vurugu za Oct29. Walitumia triangulation kupata taarifa sahihi kuhusu nyinyi na matukio yote na hasara mliyosababisha hata kwa makampuni yao yaliyoko nchini. Hata shughuli za makampuni yao ya uchimbaji madini, mafuta ya total, puma, nk yalisimamisha uzalishaji kwa upuuzi wenu.
 
 
Bangi mbaya jamani!!, wacha tu ikatazwe. Yaa baada ya kuvuta misuba yenu punde mkajiona mna nguvu na mamlaka ya kuzuia uchaguzi usifanyike nchi nzima, kusogeza mbele uchaguzi na kuiangusha serikali yenye makomandoo, majeshi ya ardhini, anga na majini na vikosi vingine visivyoonekana.

Sikiliza namna bangi ilivyokuwa mbaya. Ukiyasweka ndani na kuyapeleka mahakamani yanapiga nduru ya kuita UN, EU na ICC njooooni haraaaka unatuoneaaaa!!! jemeni njooni harakaaaa!!!. "hatujui!!"
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/1EfWD1wFHU/
 
ule uongo wa Tanzania ukikosoa serikali unatekwa, unakamatwa, unafunguliwa mashataka ya uongo, unauliwa Mnyika ameisafisha Tanzania. Wabunge wa IPU wako hapa live wanamuona Mnyika na Heche wakiwa huru kabisa kusema na kukosoa.
Hizo kitu hamuwezi kuzigusa sasa hivi moto wake hamuuwezi, si mnaogopa kipindi hiki cha ugeni, msitufanye wajinga!
 
Hizo kitu hamuwezi kuzigusa sasa hivi moto wake hamuuwezi, si mnaogopa kipindi hiki cha ugeni, msitufanye wajinga!
Kama serikali ina uwezo huo wa kuwavumilia hadi wageni waondoke basi imepiga hatua kubwa katika ukomavu wa kisiasa. Huko Rwanda wasingesubiri hata dk moja ubwabwaje. Rais Magufuli angeshawapasua hasua zenu.

Tukubali tu jamani Rais Samia ana exposure kubwa ya mambo kuliko marais wote waliopita, anajua, anajua na anajua maana ya Urais na kazi zake. Nilifika juzi kule Dar nikakuta jiji linajengwa bila kusikia kelele nyingi. Nchi nzima kila sekta inaimarika bila kusikia kelele, mbwembwe, masimango, na patashika nyingi. Kama ukisikia kilele na mbwembwe za hovyo zinatoka kwa Heche, Mnyika, Nshala au Msigwa, bado wana siasa zile za kishamba za kufoka, kutishia na kujisifu za kizamani za kudhani kiongozi lazima afoke na kuzungumza kila wakati ndio watu wakuelewe na kutenda.
 
Wanakupa uhuru wa kuongea lakini hawakuhakikishii uhuru wako wa kuongea,wapi Polepole, wapi Nchimbi,wapi Soka?
 
Wanakupa uhuru wa kuongea lakini hawakuhakikishii uhuru wako wa kuongea,wapi Polepole, wapi Nchimbi,wapi Soka?
Kila kazi, kila nafasi ya kazi na kila taifa lina miiko yake. Hata kuwa mwanaume kuna miiko yake.

Kule ulaya na marekani pia kuna miiko yao. Huwezi kutoa taarifa ambayo inahatarisha usalama wako, usalama wa familia yenu, usalama wa shirika lenu ulikoajiliwa, usalama wa chama chenu au usalama wa kampuni yako.

Hakuna mwandishi habari awe wa ndani au nje ya Israel aliyeruhusia kupiga picha au kusambaza taarifa kuhusu madhara ya makombora ya Iran.

Miiko ya mwanaume ni pamoja na kuficha mgongo wako, usisutwe kwa uongo, usitoe siri ya jando, usiishi kwa shemeji yako, usiishi ukweni, usifuate mkumbo jiridhishe, usiwe bwege, usiwe nyoronyoro, changanya na zako,
 
๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ
 
Mwanzo niliambiwa wewe ni mgonjwa wa akili sikuamini ila sasa nimeamini.
 
Mwanzo niliambiwa wewe ni mgonjwa wa akili sikuamini ila sasa nimeamini.
Huna ubongo wa kunielewa wewe. Kama Mange Kimambi anaweza kukuswaga atakavyo akiwa Marekani ameketi mgahawani anakula hot dog utasema una akili wewe. Msukule wa Lissu.
 
Huna ubongo wa kunielewa wewe. Kama Mange Kimambi anaweza kukuswaga atakavyo akiwa Marekani ameketi mgahawani anakula hot dog utasema una akili wewe. Msukule wa Lissu.


Ni kweli siwezi kuelewa unayoyaandika sababu ni mgonjwa wa akili na mara zote mgonjwa wa akili anafikiri wote waliomzunguka nao ni wagonjwa kama yeye.

Hiki ndio alichoongea Mnyika sijasikia mahali popote kapaisha watu au vitu.


View: https://x.com/ChademaTZ2/status/2107400940789641268
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ