Mnyika apewa Uchifu Mwanza na kupewa jina la Chief Malonja, ataka marekebisho ya Katiba

Pole sana kwa kulazimisha maji yapande mlima
wasukuma hawanywei pombe kwenye kibuyu, hiyo ni mila ya kiha na kihaya, wasukuma hunywea kwenye chubhu au chanji na sio kisabo kama mnyika alivyofanya hayo ni mambo ya kishirikina tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa ujumbe huu uliiuandika hapa, unainyesha ni jinsi gani ulivyo mjinga au mpumbavu.
Unanifanya kipofu huini na hutambui ni nani wa kulaumiwa kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa.
Hivi ninani aliwazuia upinzani kugombea? Siyo seriki iliyoondoa majina yao? Upumbavu wire wa wakurugezi na watendaji wa kata hukuuona?
Acheni uzwazwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCM wanajua marekebisho ya katiba ndio kaburi lao.Hawawezi kukubali hata kwa mtutu wa bunduki!
 
Hapo ndiyo utajua kuwa vijana wa lumumba wao kazi yao ni kubwabwaja tu bila kujiuliza kwanza chanzo cha tatizo maana hayo matatizo yoote wao ndiyo chanzo.

Kimsingi wana sahau haraka kama kuku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…