Mnyika apewa Uchifu Mwanza na kupewa jina la Chief Malonja, ataka marekebisho ya Katiba

Akae hukohuko mkoani mwanza asije huku jijini mwanza tukashindwa kusherehekea mwaka mpya
 
Wasukuma ndio wanajipendekeza kwake yeye alishasema ni mzilankede
Huifahamu sukuma land wewe kaa kimya, kama Bulima (Misungwi ikiwemo) kuna wazilankende au wasubi basi sawa, pia hakuna Msukuma anaitwa Mnyika, kwao kuwa Mwanza hakumfanyi awe msukuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…