Mnyika apewa Uchifu Mwanza na kupewa jina la Chief Malonja, ataka marekebisho ya Katiba

Na bado safari hii vijana wa ufipa kila mtu atatamani kuwa msukuma na sisi kanda ya ziwa tunasema wembe kupita ule yaani hamchukui jimbo hata moja.Subiri 2020 tuwafundishe kwa nini mtoto hakui kwa baba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaingizwa choo cha kike,atakua bubu na kujiumauma daima,kifupi kajikaanga
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani sherehe ya chifu wa wasukuma inafanyika kwa nguo za CHADEMA? iko kazi maana hali kama hii hupelekea watu kulishwa vinyesi mbele ya waganga wa kienyeji.
 
Tulieni dawa iwaingie vizuri maungoni na lazima leo mtalala na viatu baada ya mh Mnyika kutawazwa kuwa chief
Na bado safari hii vijana wa ufipa kila mtu atatamani kuwa msukuma na sisi kanda ya ziwa tunasema wembe kupita ule yaani hamchukui jimbo hata moja.Subiri 2020 tuwafundishe kwa nini mtoto hakui kwa baba.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama nyinyi mmezoea kulishwa vinyesi hayo ni yenu maana ccm ni chaka la madudu
Yaani sherehe ya chifu wa wasukuma inafanyika kwa nguo za CHADEMA? iko kazi maana hali kama hii hupelekea watu kulishwa vinyesi mbele ya waganga wa kienyeji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi sifurahishwi na madai tu ya mdomo kwani wanasheria katika vyama hawapo si waliweke katika kisheria wafungue kesi mahakamani ambako haki inapatikana then kuyaleta na kwa umma pia.
Haya madai ya mdomo tu hayajawahi kuwa na nguvu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…