Wanaibua agenda ya katiba mpya baada baada ya kuona kesi ya ugaidi imeiva!Binafsi nawakilisha mamilioni ya watanganyika na watanzania kwa ujumla ambao hatutaki katiba mpya. Laiti watanganyika au watanzania kwa uwingi wetu tungetaka katiba mpya basi nchi hii leo isingetawalika. Lkn kwa vile wengi wetu hatuhitaji katiba mpya ndio maana nchi bado inatawalika, shughuli mitaani zinaendelea na hakuna dalili ya chochote kutokea. Japo. alietaka kulazimisha hiyo katiba akiendelea kunyea debe.
Kwa hapo kakosea kipi?Jifunzeni kuwa na staha!
Kama mtanganyika na mtanzania halisi. Chadema na misukule yao hawakuweka akiba ya pesa zao, sasa njaa imewabana wanakuja na njia nyingine ya kupiga hela kupitia vikao vya katiba.Wewe Kama nani?.!!You are concentrating your mind in a limited area
90% ya watanzania wameipuuza hii propaganda yao ya katiba kwa vile imekaa kiupigaji, hasa ktk vikao vya katiba ambapo kila atakaechaguliwa kuwakilisha kundi fulan atahitajika kulipwa mamilioni ya shiling kwa kila kikao.Wanaibua agenda ya katiba mpya baada baada ya kuona kesi ya ugaidi imeiva!
asante sanaRais hakose 🤣🤣🤣🤣
asante sana
Jpm mtanganyika pure lkn alisema hakunadi katiba mpya na ndye aliyemuachia usukani ssh sasa wewe na utanganyika wako tuletee katiba kama unaona unauwezo wa kuiletaSamia kama hataki katiba mpya sisi watanganyika tunataka Tanganyika yetu. Atabaki hana nchi anayoiongoza.
Watanganyika bila katiba mpya tuhimizane kujitoa kwenye muungano wa wana ccm.
Tunataka muungano wa wananchi wa Tanganyika na Zanzibar.
Kama mtanganyika na mtanzania halisi. Chadema na misukule yao hawakuweka akiba ya pesa zao, sasa njaa imewabana wanakuja na njia nyingine ya kupiga hela kupitia vikao vya katiba. Namshauri raisi Samia awapuuze wachumia tumbo hawa. Kama wanaona swala la katiba lina umuhimu waliweke kwenye ilani yao ya uchaguzi mwaka 2025, tuone kama hawajaangukia pua again
Mumekanyaga moto.Mtaungua mmoja baada ya mwingine. Ugaidi wa Mbowe sasa basi.Hiyo ndiyo Taarifa iliyopo mitaani kwa sasa , na huu ndio uzuri wa Chadema , hakuna muda wa kuendelea kudanganya umma na ukaachwa tu .
View attachment 1890160
Haya mambo ndio yanakuja kuleta machafuko! Samia na IGP walisema mbowe alikimbia kesi akaenda kenya,je kuanzia september hadi july mbowe alikuwa na kesi ya ugadi iliyomfanya akimbie? Kama hamtaki vyama vingi pelekeni muswada bungeni vifutwe full stop.watu wote tuwe CCM.Msajili wa vyama vya siasa amemtaka Katibu mkuu wa CHADEMA J J Mnyika kujieleza kufuatia kauli yake kuwa katika mahojiano ya BBC Rais Samia alisema uongo...
Binafsi nawakilisha mamilioni ya watanganyika na watanzania kwa ujumla ambao hatutaki katiba mpya. Laiti watanganyika au watanzania kwa uwingi wetu tungetaka katiba mpya basi nchi hii leo isingetawalika. Lkn kwa vile wengi wetu hatuhitaji katiba mpya ndio maana nchi bado inatawalika, shughuli mitaani zinaendelea na hakuna dalili ya chochote kutokea. Japo. alietaka kulazimisha hiyo katiba akiendelea kunyea debe.
Haya mambo ndio yanakuja kuleta machafuko! Samia na IGP walisema mbowe alikimbia kesi akaenda kenya,je kuanzia september hadi july mbowe alikuwa na kesi ya ugadi iliyomfanya akimbie? Kama hamtaki vyama vingi pelekeni muswada bungeni vifutwe full stop.watu wote tuwe CCM.
Joined August 2 2021Mumekanyaga moto.Mtaungua mmoja baada ya mwingine. Ugaidi wa Mbowe sasa basi.