Mnyika atakiwa kujieleza kwa Msajili wa Vyama vya Siasa kisa kusema Rais Samia alisema uongo

Kizazi cha ZIDMU FIKRA za Mwenyekiti kina endelea kututesa.
 
Samia kama hataki katiba mpya sisi watanganyika tunataka Tanganyika yetu. Atabaki hana nchi anayoiongoza.
Watanganyika bila katiba mpya tuhimizane kujitoa kwenye muungano wa wana ccm.
Tunataka muungano wa wananchi wa Tanganyika na Zanzibar.
Kwani Wana ccm siyo watanganyika?
 
Hakuna kesi yeyote ya Ugaidi au Uhujumu uchumi iliyofunguliwa Sept mwaka jana dhidi ya Freeman Aikael Mbowe.

 
Nendeni mkayapeleke mahakamani kama yana tija, huruma ya wananchi kwa sasa haisaidii. Pambaneni mwenzenu anateseka kule
 
Nendeni mkayapeleke mahakamani kama yana tija, huruma ya wananchi kwa sasa haisaidii. Pambaneni mwenzenu anateseka kule
Mahakama gani hiyo unayoshauri waende? Ikiwa majaji wote wanalipwa na serikali, utadhani watakwenda kinyume na matakwa ya muajiri wao?
 
Mbona kiswahili kinajieleza wazi, neno aidha linafuta uthibitisho kwahiyo ni hisia tu na si halisi. Watanzania wa sasa mbona tumepoteza maana ya utumiaji maneno!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…