Uchaguzi 2020 Mnyika: CHADEMA kuendelea na kampeni za Urais leo Oktoba 04, huko Unguja, Zanzibar

Kitendo cha kutii hiki 'kifungo' haramu kinawapa picha kuwa hata matokeo watachakachua na hamna mtacho fanya.
 
Hata kama watu wamenyamaza lakini Mimi nakuunga mkono.
 
Safi sana hawa NEC, msajili na police tunawatega Sasa tuone
Hivi we una akili kweli kiongozi wenu anayewaza kuiongoza nchi unawaza maswala ya kuilitega jeshi la polisi na NEC niwaambieni tuhakuna aliye juu ya sheria hapa nchini.
 
Reactions: Ole
Wakaitaka maendeleo wafanye kwanza maendeleo ndani ya chama chao kwa maana huwezi kuongoza mtu kama wewe mwenyewe umeshimdwa kujiongoza
Maendeleo yapi yapo CCM? Miaka 59 hakuna maendeleo licha ya Nchi kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani
 
Reactions: Ole


Oh Bashiru anafanya kazi NEC? Sikulijua hilo, ...
 
Kitendo cha kutii hiki 'kifungo' haramu kinawapa picha kuwa hata matokeo watachakachua na hamna mtacho fanya.
Ukweli mchungu ni kwamba CCM tayari itashinda uchaguzi mkuu baada ya Chadema kufyata mkia kwny tukio hili la muhimu kabisa,huu ulikua ni muda wa kuwaonyesha CCM/Tume kwamba upuuzi wa namna yoyote ile hatutakubali na tuta-deal ipasavyo.

Since wameshindwa kuonyesha hilo then kwny uchaguzi mchakachuo ni kama kawa na Chadema/Lissu hawatafanya chochote kile zaidi ya zile story za kila mwaka kuibiwa kura.

Imeisha hio.
 
Katibu mkuu wa CHADEMA J J Mnyika amesema chama chake kitaendelea na kampeni za uchaguzi leo huko Unguja katika visiwa vya Zanzibar.

Wote mnakaribishwa.

Maendeleo hayana vyama!
Hivi mkiambiwa mnavunja sheria mtamlaumu nani labda??

Mbona mnataka kufanya mambo ambayo yanaaahiria uvunjifu wa amani nchini.

Fanyeni vitu kufuata sheria na watu watawaona mna maana,ila sio hizi akili mnawakosea wananchi wenu.
 
Hii ndiyo ofisi ya waleta mabadilikoView attachment 1589789
Nikutaarifu kuwa muda muafaka ukiwadia hamuachi mtu salama, hatakama ofisi ya CHADEMA ni chini ya mti, watu wameishakata shauri, wanataka utawala mpya kwa katiba mpya. Hata kama mgombea ni bubu watampigia kura za kimbunga.
Kama kukubalika kunaenda sambaba na rasilimali za chama basi CCM wasingekuwa na sababu ya kupiga kampeni maana wana majumba, viwanja vya mpira nchi nzima ingawa vilijengwa kwa michango ya lazima nawananchi wote kwa kulazimishwa, wanachama na wasio wanachama
 
Hivi mkiambiwa mnavunja sheria mtamlaumu nani labda??

Mbona mnataka kufanya mambo ambayo yanaaahiria uvunjifu wa amani nchini.

Fanyeni vitu kufuata sheria na watu watawaona mna maana,ila sio hizi akili mnawakosea wananchi wenu.
Wanavunja sheria gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…