Man in the Middle
JF-Expert Member
- Feb 26, 2019
- 486
- 1,034
Hizo ofisi zenyew ni majengo yaliokua ya wakoloni waliyarithi nakujimilikishaMataga mna ofisi nzuri saana lakini mgombea wenu wa urais amekataliwa kila mahali hadi imefika hatua anaomba kura kwa kupiga magoti 🤣
Mwaka 1991 mara baada ya mfumo wa vyama vingi kuanza ilipaswa majengo ofisi viwanja vyote vya CCM vigawanywe kwa vyama vya upinzani kwa usawa na sasa chadema wakiingia ikulu watagawanya hayo majengo kwa vyama vyote umefanya vizuri kuwakumbusha chadema wadai haki zao mapemaHii ndiyo ofisi ya waleta mabadilikoView attachment 1589789
Majengo ya CCM ni mali ya vyama vyote ni mda wa kuwaganywa sasa, CCM acheni kutumia majengo yasiyo yenu yarejesheni kwa vyama vyoteHizo ofisi zenyew ni majengo yaliokua ya wakoloni waliyarithi nakujimilikisha
Katibu mkuu wa CHADEMA J J Mnyika amesema chama chake kitaendelea na kampeni za uchaguzi leo huko Unguja katika visiwa vya Zanzibar.
Wote mnakaribishwa.
Maendeleo hayana vyama!
Anamaanisha Salum Mwalimu!Labda kama Mnyika ana maanisha mgombea wa Urais wa chadema huko Zanzibar lakini wa bara hameshapigwa ban hadi tarehe 9 akikaidi atakutana na mkono wa sheria!
Anamaanisha Salum Mwalimu!
We ulitakaiweje, watu hawaangalii jengo Bali Wana angalia kilichomo ndani ya akili za watu.Hii ndiyo ofisi ya waleta mabadilikoView attachment 1589789
Lissu ni mjanja sana anataka leo wazanzibar wapigwe mabomu huko unguja akili ziwasogee ili tarehe 28 octoba kazi iwe rahisi
Hiyo ofisi inaendana na hali ya Watanzania walio wengi ambao ni maskiniHii ndiyo ofisi ya waleta mabadilikoView attachment 1589789
Nini umuhimu wa ofisi katika enzi hizi za 'work from home'?Hii ndiyo ofisi ya waleta mabadilikoView attachment 1589789
Wewe mbona wiki ya nne na joto hili hujabadili gagulo yako?Hii ndiyo ofisi ya waleta mabadilikoView attachment 1589789
Hii ndiyo ofisi ya waleta mabadilikoView attachment 1589789
Tbc watarusha Live? Lissu amesema anamuunga mkono maalimu,kampeni za nini?Katibu mkuu wa CHADEMA J J Mnyika amesema chama chake kitaendelea na kampeni za uchaguzi leo huko Unguja katika visiwa vya Zanzibar.
Wote mnakaribishwa.
Maendeleo hayana vyama!
NEC wamempiga stop Lissu ila CHADEMA kama Chama wapo free kuendelea na campaign na wanaweza kunnadai Lissu bila shidaSafi sana hawa NEC, msajili na police tunawatega Sasa tuone
Hii ndiyo ofisi ya waleta mabadilikoView attachment 1589789
Ccm ina ofisi nzuri kila mkoa ila wastani wa kipato cha mtanzania kwa mwaka ndo kwanza kimefikia TZS 2,360,000 baada ya miaka 60 ya uhuru.Wajinga tu ndo waanamini ofisi ndo zinafanya kaziHii ndiyo ofisi ya waleta mabadilikoView attachment 1589789
Huu sasa utani wa ngumi..yaani hii ndio Ufipa - jina kubwa!?Hii ndiyo ofisi ya waleta mabadilikoView attachment 1589789
Hivi Bashiru anagombea wapi vile?Mnyika amekimbia jimbo lake na sasa anashinda jukwaa la wachumia tumbo