Uchaguzi 2020 Mnyika: CHADEMA kuendelea na kampeni za Urais leo Oktoba 04, huko Unguja, Zanzibar

Lisu yuko kifungoni.

Kampeni zinaongozwa na mgombea mwenza Salum Mwalimu!
Ambaye ameagizwa kuwaeleza watanzania kuwa Chadema kiko radhi kuhakikisha serikali ya nchi hii inakuwa omba masikini na tegemezi kwa kubinafsisha kila kitengo kinachoiingizia serikali mapato!!!

Wameumbuka sana!!!
 
Maisha yako yakiwa mabovu kama hayo usitegemee Watanzania walio wengi wanaishi kama wewe.
Mzee nani kasema watanzania wote?
Nimesema maisha ya watanzania wengi.
Acha kujitoa ufahamu
 
"Sio tu kumwaga damu... wamwage hata mkojo waone.." The JPM

Viva Magu 2020 to 2030
Dawa ya moto ni moto. CHADEMA wasitegemee amani bila ncha ya upanga. Huu ndio muda wa mabadiliko. Mahera anakwenda kumtangaza Magufuli kama mshindi regardless ya matokeo. Nadhani hii ni opportunity ya kuonyesha kuwa 28 Okt 2020 hamtokubali kuibiwa.
 
CCM ingekuwa inawaheshimu wananchi mgombea wenu asingekula rambirambi za tetemeko la Bukoba
 
Lissu akirudia tena tume ya maadili imfutiliembali.
Sisi wananchi tumechoshwa na dharau zake kwa Rais JPM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…