Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Safi! Kuwakata mavi mapemaKatibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, leo Juni 20, 2026, ameweka msimamo mkali mkoani Ruvuma na kukitenga chama hicho na vuguvugu la maandamano yanayodaiwa kupangwa na wananchi mitaani ifikapo Julai 7 (Saba Saba), akisisitiza kuwa chama chake hakijapanga ratiba hiyo.
Pia Soma Kihongosi: CHADEMA wamefanya vikao vya siri ili kuhamasisha vurugu kupitia maandamano wanayoratibu
"Polisi anasema kuna watu wanaandaa maandamano na kudai Chadema inapanga kufanya vurugu, lugha yao inafanana na msemaji wa CCM. Sisi hatujafanya vikao vya vurugu. Sheria inaruhusu raia au vikundi kuandamana, lakini kwa upande wetu sisi msitupangie tarehe; Chadema tutaitangaza tarehe yetu wenyewe ya maandamano," amesema Mnyika.
Hii safi sana maandamano hayo ya 7/7 yakifanyika na kufana ni meseji kubwa kwa watawala dhalimu kuwa hata wananchi wasio na vyama wana uwezo wa kujiamulia wenyewe bila mwavuli wa vyama kama ilivyokuwa 29.10.2025.Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, leo Juni 20, 2026, ameweka msimamo mkali mkoani Ruvuma na kukitenga chama hicho na vuguvugu la maandamano yanayodaiwa kupangwa na wananchi mitaani ifikapo Julai 7 (Saba Saba), akisisitiza kuwa chama chake hakijapanga ratiba hiyo.
Pia Soma Kihongosi: CHADEMA wamefanya vikao vya siri ili kuhamasisha vurugu kupitia maandamano wanayoratibu
"Polisi anasema kuna watu wanaandaa maandamano na kudai Chadema inapanga kufanya vurugu, lugha yao inafanana na msemaji wa CCM. Sisi hatujafanya vikao vya vurugu. Sheria inaruhusu raia au vikundi kuandamana, lakini kwa upande wetu sisi msitupangie tarehe; Chadema tutaitangaza tarehe yetu wenyewe ya maandamano," amesema Mnyika.
Dawa ya risasi za ccm ni niniDawa ya moto ni moto.
Daah hii sasa Ni hatariKatibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, leo Juni 20, 2026, ameweka msimamo mkali mkoani Ruvuma na kukitenga chama hicho na vuguvugu la maandamano yanayodaiwa kupangwa na wananchi mitaani ifikapo Julai 7 (Saba Saba), akisisitiza kuwa chama chake hakijapanga ratiba hiyo.
Pia Soma Kihongosi: CHADEMA wamefanya vikao vya siri ili kuhamasisha vurugu kupitia maandamano wanayoratibu
"Polisi anasema kuna watu wanaandaa maandamano na kudai Chadema inapanga kufanya vurugu, lugha yao inafanana na msemaji wa CCM. Sisi hatujafanya vikao vya vurugu. Sheria inaruhusu raia au vikundi kuandamana, lakini kwa upande wetu sisi msitupangie tarehe; Chadema tutaitangaza tarehe yetu wenyewe ya maandamano," amesema Mnyika.
Ni risasi za waandamanaji.Dawa ya risasi za ccm ni nini
Risasi Mangi, unauliza vumbi store?Dawa ya risasi za ccm ni nini
Wakisikia Chadema haihusiki watayaruhusuSafi! Kuwakata mavi mapema