Mnyika: Dr Nchimbi ni vema ukathibitisha Kwa uwazi utashiriki na si kutuma mwakilishi kwenye Mdahalo wa Makatibu Wakuu Leo!

Umeweka takataka gani hapa?
Najuwa kama ilivyo kawaida yako, kila unapopita ni uchafu tu unajaza kwenye jukwaa la siasa! Huna mchango wowote wa maana unaoweza kuchangia katika jambo lolote, isipo kuwa kujaza takataka tu!
 
Dr.Nchimbi keshaingia Mitini...😁😆🤣🤣😂
 
Akitokea nipigwe ban siku mbili 😂
 
Umeweka takataka gani hapa?
Najuwa kama ilivyo kawaida yako, kila unapopita ni uchafu tu unajaza kwenye jukwaa la siasa! Huna mchango wowote wa maana unaoweza kuchangia katika jambo lolote, isipo kuwa kujaza takataka tu!
mihemko na ghadhabu ni hatari kwa afya ya akili na moyo wako kaa chonjo na ujiepushe nayo gentleman
 
Mbele ya baba Mtakatifu Papa Francisco anayeketi kitini pake Mtume Petro huyo Mnyika na Nchimbi wote ni Sawa na walikuwa Vatican juzikati 🌹🌹
mnyika kafichwa na macarterls ya chadema kajamaa hakahemi kabisa dah,

eti kana bwekabweka kutaka mdahalo na DR.

vitu vingine vinachekesha nchi hii dah
 
nimekumbuka kipindi cha dakika 45 itv wakati wa uchaguzi, walikua kila wiki wanapiga interview na mgombea urais, ila Magu aliwakilishwa na Bashiru
 
mnyika kafichwa na macarterls ya chadema kajamaa hakahemi kabisa dah,

eti kana bwekabweka kutaka mdahalo na DR.

vitu vingine vinachekesha nchi hii dah
Kutokana na ccm kulemazwa na vyombo vya dola, kwa sasa hawajiamini kabisa kuingia sehemu ambayo hawatapata hiyo mbeleko.
 
Mnyika amesema kama Dr Nchimbi ataingia mitini basi Mdahalo huo utakuwa ni wa Makatibu Wakuu wa Vyama Vya Upinzani kitu kitakachokuwa hakina Tija kwani ushiriki wa CCM ni muhimu sana
Hii inaonyesha, kuwa vyama vya Upinzani, havijajidhatiti katika masuala ya delegation of power...haishangazi... Mwenyekiti wa Chama Fulani cha Siasa kukalia nafasi hiyo kupindukia.
 
mihemko na ghadhabu ni hatari kwa afya ya akili na moyo wako kaa chonjo na ujiepushe nayo gentleman
Kwanza huna ujualo kuhusu hayo maswala ya "afya", utaanzia wapi mtu kama wewe kunipa ushauri wa namna hiyo, mambo ambayo ungekuwa na akili timamu ninge kufundisha nawe uwe na ufahamu nayo!
Bure Kabisa!
Kila unalo andika humu ni takataka. Sasa kama upo hivi hata huko nyumbani kwako hali ikoje huko? Watoto watakuwa wana kushangaa sana kuwa na akili za namna hii.
 
mnyika kafichwa na macarterls ya chadema kajamaa hakahemi kabisa dah,

eti kana bwekabweka kutaka mdahalo na DR.

vitu vingine vinachekesha nchi hii dah
Ona. Huyu ni mtu mzima. Tena mzazi mwenye watoto nyumbani anakuwa na akili za aina hii?
 
ni hiayari yako kufuata au kushupaza shingo kwenye ushauri huo muhimu sana kwa afya yako
 
Hii inaonyesha, kuwa vyama vya Upinzani, havijajidhatiti katika masuala ya delegation of power...haishangazi... Mwenyekiti wa Chama Fulani cha Siasa kukalia nafasi hiyo kupindukia.
Irrelevant.
 
ni hiayari yako kufuata au kushupaza shingo kwenye ushauri huo muhimu sana kwa afya yako
Ukweli ni kwamba wewe huna lolote la kunishauri mimi. Hili lilikuwepo toka mwanzo nilipo anza kusoma takataka zako. Hii ina maana, hivyo ndivyo ulivyo kihalisia na kitabia.
Hata nyumbani tabia zako zipo hivi hivi zinavyo jionyesha humu JF.

Wewe ni mtu wa mawazo ya takataka tu wakati wote.
 
Tupatieni link tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…