Mnyika: Dr Nchimbi ni vema ukathibitisha Kwa uwazi utashiriki na si kutuma mwakilishi kwenye Mdahalo wa Makatibu Wakuu Leo!

kwa ratiba ngumu na muhimu sana ya katibu mkuu wa ccm, iliyo ambatana majukumu mazito ya kitaifa na kimataifa si rahisi kushiriki mjadala huo ambao kimsingi hauna tija sana, kwasababu chama chenye zaidi ya wabunge mia4 kina jadiliana nini na chama ambacho hakina hata diwani moja nchi nzima?

nadhani ni busara ya kipekee sana kwa mtu mzima na mwenye heshima kama Dr.Emmanuel Nchimbi, a very able, matured, disciplined and capable SG of CCM, kupuuza madahalo huu na kutoa fursa kwa hao vijana kujadiliana wao wenyewe mambo yao kama upinzani

mbaya zaidi katibu mkuu wa ccm anasisitizwa kuthibitisha kuhudhuria mdahalo huo na katibu mkuu mnyonge sana ( shadow SG) wa chama ambacho mara zote kiko kishari shari tu, kumejawa hofu, ubishi, malalamiko, taharuki na sura ya kihalifu halifu tu... just wastage of time tu:pulpTRAVOLTA:
Umeweka takataka gani hapa?
Najuwa kama ilivyo kawaida yako, kila unapopita ni uchafu tu unajaza kwenye jukwaa la siasa! Huna mchango wowote wa maana unaoweza kuchangia katika jambo lolote, isipo kuwa kujaza takataka tu!
 
Dr.Nchimbi keshaingia Mitini...😁😆🤣🤣😂
 
Umeweka takataka gani hapa?
Najuwa kama ilivyo kawaida yako, kila unapopita ni uchafu tu unajaza kwenye jukwaa la siasa! Huna mchango wowote wa maana unaoweza kuchangia katika jambo lolote, isipo kuwa kujaza takataka tu!
mihemko na ghadhabu ni hatari kwa afya ya akili na moyo wako kaa chonjo na ujiepushe nayo gentleman :pedroP:
 
Mbele ya baba Mtakatifu Papa Francisco anayeketi kitini pake Mtume Petro huyo Mnyika na Nchimbi wote ni Sawa na walikuwa Vatican juzikati 🌹🌹
mnyika kafichwa na macarterls ya chadema kajamaa hakahemi kabisa dah,

eti kana bwekabweka kutaka mdahalo na DR. :pedroP:

vitu vingine vinachekesha nchi hii dah:pedroP:
 
nimekumbuka kipindi cha dakika 45 itv wakati wa uchaguzi, walikua kila wiki wanapiga interview na mgombea urais, ila Magu aliwakilishwa na Bashiru
 
mnyika kafichwa na macarterls ya chadema kajamaa hakahemi kabisa dah,

eti kana bwekabweka kutaka mdahalo na DR. :pedroP:

vitu vingine vinachekesha nchi hii dah:pedroP:
Kutokana na ccm kulemazwa na vyombo vya dola, kwa sasa hawajiamini kabisa kuingia sehemu ambayo hawatapata hiyo mbeleko.
 
Mnyika amesema kama Dr Nchimbi ataingia mitini basi Mdahalo huo utakuwa ni wa Makatibu Wakuu wa Vyama Vya Upinzani kitu kitakachokuwa hakina Tija kwani ushiriki wa CCM ni muhimu sana
Hii inaonyesha, kuwa vyama vya Upinzani, havijajidhatiti katika masuala ya delegation of power...haishangazi... Mwenyekiti wa Chama Fulani cha Siasa kukalia nafasi hiyo kupindukia.
 
mihemko na ghadhabu ni hatari kwa afya ya akili na moyo wako kaa chonjo na ujiepushe nayo gentleman :pedroP:
Kwanza huna ujualo kuhusu hayo maswala ya "afya", utaanzia wapi mtu kama wewe kunipa ushauri wa namna hiyo, mambo ambayo ungekuwa na akili timamu ninge kufundisha nawe uwe na ufahamu nayo!
Bure Kabisa!
Kila unalo andika humu ni takataka. Sasa kama upo hivi hata huko nyumbani kwako hali ikoje huko? Watoto watakuwa wana kushangaa sana kuwa na akili za namna hii.
 
mnyika kafichwa na macarterls ya chadema kajamaa hakahemi kabisa dah,

eti kana bwekabweka kutaka mdahalo na DR. :pedroP:

vitu vingine vinachekesha nchi hii dah:pedroP:
Ona. Huyu ni mtu mzima. Tena mzazi mwenye watoto nyumbani anakuwa na akili za aina hii?
 
Kwanza huna ujualo kuhusu hayo maswala ya "afya", utaanzia wapi mtu kama wewe kunipa ushauri wa namna hiyo, mambo ambayo ungekuwa na akili timamu ninge kufundisha nawe uwe na ufahamu nayo!
Bure Kabisa!
Kila unalo andika humu ni takataka. Sasa kama upo hivi hata huko nyumbani kwako hali ikoje huko? Watoto watakuwa wana kushangaa sana kuwa na akili za namna hii.
ni hiayari yako kufuata au kushupaza shingo kwenye ushauri huo muhimu sana kwa afya yako :pedroP:
 
Hii inaonyesha, kuwa vyama vya Upinzani, havijajidhatiti katika masuala ya delegation of power...haishangazi... Mwenyekiti wa Chama Fulani cha Siasa kukalia nafasi hiyo kupindukia.
Irrelevant.
 
ni hiayari yako kufuata au kushupaza shingo kwenye ushauri huo muhimu sana kwa afya yako :pedroP:
Ukweli ni kwamba wewe huna lolote la kunishauri mimi. Hili lilikuwepo toka mwanzo nilipo anza kusoma takataka zako. Hii ina maana, hivyo ndivyo ulivyo kihalisia na kitabia.
Hata nyumbani tabia zako zipo hivi hivi zinavyo jionyesha humu JF.

Wewe ni mtu wa mawazo ya takataka tu wakati wote.
 
Katibu mkuu wa CHADEMA John Mnyika amemtaka Katibu mkuu wa CCM Dr Nchimbi kushiriki yeye mwenyewe kwenye Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama Vya Siasa UDSM Leo

Mnyika amesema kama Dr Nchimbi ataingia mitini basi Mdahalo huo utakuwa ni wa Makatibu Wakuu wa Vyama Vya Upinzani kitu kitakachokuwa hakina Tija kwani ushiriki wa CCM ni muhimu sana

John Mnyika ameandika Ukurasani X

View attachment 3083470

Soma Pia: Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa tarehe 31/08/2024 Maktaba ya UDSM. Dr Nchimbi, J J Mnyika, Ado Shaibu na wengine Watashiriki
Tupatieni link tafadhali
 
Back
Top Bottom