Umeweka takataka gani hapa?kwa ratiba ngumu na muhimu sana ya katibu mkuu wa ccm, iliyo ambatana majukumu mazito ya kitaifa na kimataifa si rahisi kushiriki mjadala huo ambao kimsingi hauna tija sana, kwasababu chama chenye zaidi ya wabunge mia4 kina jadiliana nini na chama ambacho hakina hata diwani moja nchi nzima?
nadhani ni busara ya kipekee sana kwa mtu mzima na mwenye heshima kama Dr.Emmanuel Nchimbi, a very able, matured, disciplined and capable SG of CCM, kupuuza madahalo huu na kutoa fursa kwa hao vijana kujadiliana wao wenyewe mambo yao kama upinzani
mbaya zaidi katibu mkuu wa ccm anasisitizwa kuthibitisha kuhudhuria mdahalo huo na katibu mkuu mnyonge sana ( shadow SG) wa chama ambacho mara zote kiko kishari shari tu, kumejawa hofu, ubishi, malalamiko, taharuki na sura ya kihalifu halifu tu... just wastage of time tu![]()
Najuwa kama ilivyo kawaida yako, kila unapopita ni uchafu tu unajaza kwenye jukwaa la siasa! Huna mchango wowote wa maana unaoweza kuchangia katika jambo lolote, isipo kuwa kujaza takataka tu!

