Mnyika: Dr Nchimbi ni vema ukathibitisha Kwa uwazi utashiriki na si kutuma mwakilishi kwenye Mdahalo wa Makatibu Wakuu Leo!

Mnyika: Dr Nchimbi ni vema ukathibitisha Kwa uwazi utashiriki na si kutuma mwakilishi kwenye Mdahalo wa Makatibu Wakuu Leo!

Kazi imeanza huku tusikilize pumba za vegetables na vyama vyao vya pembeni vya kutuzugia wananchi..!
 
KATIBU MKUU ASHINDWA KUJITOKEZA

#LIVE: MNYIKA, ADO SHAIBU, WAGOMA KUSHIRKI MDAHALO WA MEDANI ZA SIASA KISA DKT. NCHIMBI KUTOSHIRIKI

Kama kawaida katibu mkuu wa chama dola kongwe yaani CCM DR. Emmanuel Nchimbi hajaweza kujitokeza na hivyo katibu mkuu wa CHADEMA kamanda John John Mnyika asema ingawa amejitikoza lakini kwa vile katibu mkuu wa CCM ameshinda kuheshimu miada ....
 
Jamaa nao wamefeli kuwa na set up nzuri ya sauti. Kuwaweka viongozi wakubwa kwa viwango hivi ilikuwa bado sio sawa sawa.

Star tv, wajipange
 
Aibu kwa Taifa, chama dola kongwe kinachoendesha serikali yake chashindwa kutokea kwa kumkataza Dr. Emmanuel Nchimbi asishiriki mdahalo ambao ungezungumzia mustakhabali wa taifa letu .
 
Kwa hoja hizi "Kila kitu Mama kafanya" Dr.Nchimbi hawezi mdahalo lazima aingie mitini.
Nadhani hata hoja ya Utekaji ni kizingiti cha yeye kutokuja!
 
Mdahalo upi?.. mdahalo wa maana wa mwisho ulifanyika 1995,uliandaliwa na dw, mdahalo wa 2010 kila mgombea siku yake peke yake
Mdahalo si lazima mfanye pamoja ndani ya ukumbi mmoja, unaweza ukafanyika kwa muda tofauti kulingana na uandalizi, lakini mdahalo ulianza vizuri ila ulipoanza kukolea Kikwete alianza kuonekana kituko anapwaya, ikabidi CCM imzuie kuendelea kushiriki, huo ukawa mwisho wa midahalo.
 
Mdahalo ulikua kila mgombea siku yake na kila mgombea alifanya siku moja tu,madai yako CCM walimchomoa jakaya ni uwongo
 
Kwani alitakiwa Dr Nchimbi au Katibu Mkuu katika hayo mahojiano?
 
Back
Top Bottom