Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa amehuzunika sana kwakweli, lakni mjadala unaendeleaSiasa bana. Pole sana kwa Odemba.
Muda .. amepoteza muda na gharama za kuandaa mdahaloChief odemba mbona analia 😳😳
Mdahalo si lazima mfanye pamoja ndani ya ukumbi mmoja, unaweza ukafanyika kwa muda tofauti kulingana na uandalizi, lakini mdahalo ulianza vizuri ila ulipoanza kukolea Kikwete alianza kuonekana kituko anapwaya, ikabidi CCM imzuie kuendelea kushiriki, huo ukawa mwisho wa midahalo.Mdahalo upi?.. mdahalo wa maana wa mwisho ulifanyika 1995,uliandaliwa na dw, mdahalo wa 2010 kila mgombea siku yake peke yake
Mdahalo ulikua kila mgombea siku yake na kila mgombea alifanya siku moja tu,madai yako CCM walimchomoa jakaya ni uwongoMdahalo si lazima mfanye pamoja ndani ya ukumbi mmoja, unaweza ukafanyika kwa muda tofauti kulingana na uandalizi, lakini mdahalo ulianza vizuri ila ulipoanza kukolea Kikwete alianza kuonekana kituko anapwaya, ikabidi CCM imzuie kuendelea kushiriki, huo ukawa mwisho wa midahalo.
Vipi kuhusu NyerereKatika miaka yeyote ya CCM ni kiumbe mmoja tu ambae alikuwa na uthubutu pamoja na uwezo wa kufanya midahalo.
Ni Marehemu Benjamin William Mkapa.
😄nimekumbuka kipindi cha dakika 45 itv wakati wa uchaguzi, walikua kila wiki wanapiga interview na mgombea urais, ila Magu aliwakilishwa na Bashiru
Sikuwa na upeo mkubwa sana kipindi cha Nyerere hivyo siwezi kutoa ushuhuda sana.Vipi kuhusu Nyerere