Mnyika: Hekima iliyotumika kufuta kesi ya Mbowe, itumike kwa Lissu

View attachment 3642412

Haya maneno sijawahi kuyasikia toka kwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, lakini Katibu Mkuu John Mnyika ameongea kwa nidhamu kabisa.

Huyu ndiye kiongozi sasa na ishara ya maridhiano naiona
Mkuu kwenye Vita unatakiwa kutumia kila Amina ya slaha ili mradi ikuokoe kutoka mikononi mwa adui
 
Mnyika naona kama
Kachanganyikiwa Lissu hataki huruma ya mtu Kama ana makosa basi anyongwe kama hana makosa anatakiwa kuachiliwa huru bila masharti yoyote
Wewe unajua msimamo wa Lissu kuliko Mnyika?
Nolle prosequi haina masharti kwa hiyo unachotaka ndicho Lissu anachotaka.

Amandla...
 
View attachment 3642412

Haya maneno sijawahi kuyasikia toka kwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, lakini Katibu Mkuu John Mnyika ameongea kwa nidhamu kabisa.

Huyu ndiye kiongozi sasa na ishara ya maridhiano naiona
Hajaomba acha upotoshaji. Ametoa wito. Lakini hii haijaanza leo bali yamekuwa ni maneno ya muda mrefu Lisu aachiwe maana ni kesi ya kubambikiwa. Chawa wenzako huko X wanapotosha kuwa Lisu kaomba mazungumzo jambo ambalo si kweli. Ukweli ni kuwa Lisu kawashinda vilaza wa jamuhuri kwenye kesi, na sasa kesi imerudi mahakama kuu, wakati Jamuhuri haina uwezo tena hata wa kuleta ushahidi wa uongo.

Na lingine ni kuwa deadline ya Common wealth imekaribia, hivyo mnacheza mindgame ili Lisu akitoka ionekane hajashinda, wala hamjapata shinikizo la kimataifa, bali cdm wameomba. Kama ni kuombwa mbona mlipaswa kumuachia toka mwaka jana? Yaani mnajifanyaa mnajua kukwepa aibu kwa kudhani watu ni wajinga hawajui uhalisia ni upi. Na Lisu akitoka huko asilogwe akaingia kwenye maridhiano yasiyo na uwajibikaji.
 
Kesi iko mahakamani kinachotakiwa ni Mahakama itemize wajibu wake kuitoa hukumu kwa kumuachia huru Tundu Lissu baada ya upande wa mashitaka kushindwa kuleta ushahidi wa kuweza kumtia hatiani. Hukumu hiyo itamsafisha Lissu na pia kumpa nafasi ya kuweza kudai fidia kwa madhara aliyopata kwa kuwekwa gerezani kwa mashitaka hewa. Hii mambo ya kuachiana gizani kama ilivyokuwa kwq Mbowe siyo sahihi hata kidogo.Kwenye kesi ya Mbowe Mahakama ilimtia hatiani Mbowe hivyo upande wa mashitaka kuiondoa kesi Mahakamani ni kama fadhila kwa Mbowe na serikali inaweza kum-blackmail kwa kipengele hicho.
 
Nyinyi wa kambi ya Heche mnataka Lissu aendelee kusota jela huku Heche akineemeka kwa mahela ya Tonetone na kujijenga kibinafsi kwenye during za siasa za upinzani.

#Say No kwa kauli zote zinzochelewesha Lissu kuachiwa
 
Ukisoma pamoja na kudismiss maombi ya DPP, Court of Appeal Tanzania imekataa maombi ya TAL aliyotaka kupewa fidia na kuachiliwa kwa kuelezwa kuwa Mahakama ya Rufani haina mamlaka hayo isipokuwa trial court.

Forget about fidia
 
Forget about that, muacheni Lissu arudi uraiani kwa njia yeyote ila kushinda kesi sahau.

DPP anaweza kusitisha kesi ya jinai kabla ya hukumu kwa nolle prosequi. Mshtakiwa huachiwa, lakini anaweza kushtakiwa tena kwa msingi wa ukweli uleule ikiwa ushahidi mpya wa kutosha utapatikana
 
Mnataka nchi ichafuke Lissu sio
Muhaini
 
US, EU, Common Wealth at work.this time Lissu kawashika pabbaya mno, Lissu sio mwenzenu Yule ni Dunia
 
Mnyika ana busara na akili kuliko wewe panya kiroboto wa Kazuramimba
Wewe au huyo mnyika anajua hata kigezo cha mtu kuwa na akili ?...mimi ninapo sema mtu hana akili huwa ninavyo vigezo vya kusema hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…