M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 8,825
- 20,941
You must be one of the stupidest people to exist on planet earth. Legally there is no treason case that is committed by one person.Forget about that, muacheni Lissu arudi uraiani kwa njia yeyote ila kushinda kesi sahau.
DPP anaweza kusitisha kesi ya jinai kabla ya hukumu kwa nolle prosequi. Mshtakiwa huachiwa, lakini anaweza kushtakiwa tena kwa msingi wa ukweli uleule ikiwa ushahidi mpya wa kutosha utapatikana
Nani kang’ang’ania Lissu asiachiwe huru mpaka atapoombwa msamaha?Fundi hatetei lawfare ya aina yeyote.
Fundi anawashangaa kwa nini mnategemea serikali itamuomba Lissu msamaha huku mkijua thika hamna aliyewahi kuombwa msamaha. Kung'ang'ania Lissu asiachiwe mpaka serikali itakapo muomba msamaha ndio kukosa busara.
Fundi anasema Lissu akiachiwa atoke ili aweze kuendeleza mapambano akiwa nje ya gereza.
Fundi anasema kuwa ni busara kumuachia Lissu kuliko kuendelea kumshikilia.
Amandla...
Huyu kibaraka wa Mbowe anawaza kinyumenyume.Nani kang’ang’ania Lissu asiachiwe huru mpaka atapoombwa msamaha?
Mimi muda wote nimekuwa nikisema Lissu aachiwe huru haraka iwezekanavyo na alipwe fidia ya kufungwa kimakosa.Huyu kibaraka wa Mbowe anawaza kinyumenyume.
Maelezo mareeefu lkn bado Hai haiondoi ukweli kuwa Samia Suluhu Hassan ndiye Rais wa JMT na Amiri Jeshi Mkuu. Samia ndiye anayeunda Serikali, anateua, anatengua, anasaini miswada na sheria mbalimbali na hata bajeti yetu imesainiwa na Samia.Kama umekiri hakuchaguliwa basi ndio "haramu" yenyewe huyu na akina Iddi Amin ni kutoka kitabu kimoja .
Na anguko lao huwa ni sawa sawa , muda utasema.
Watawala haramu wamekuwepo karne na karne , huyu si wa kwanza hivyo ni vyema tu kuweka rekodi sawa kwamba huyu sio rais bali mtawala haramu aliyejipa mamlaka kwa bunduki na damu na ndio maana kaingia katika rekodi ya kuapishwa kiharamu katika kambi ya jeshi , haikuwahi kutokea hapo kabla.
Mimi simtambui kama rais hivyo haitobadilika kwa chochote.
Tanzania sio Nigeria wala sio Saudia,yaani wewe kabisa unalinganisha nchi maskini isiyo na mbele wala nyuma na Saudia🤣🤣🤣Unique colonialism ilihusika vipi wakati Ken Saro-Wiwa alinyongwa na Abacha? Au m Saudi Kashoggi aliyeuawa na Prince MBS wa Saudi. Hawa nao si walikuwa wanaongozwa kwa mila na desturi zile zile? What is so unique about Lissu's case na Tanzania?
Amandla...
Kama tungekuwa na Mahakama huru from the very beginning ile charge sheet ilitakiwa kuwa disqualified na kusingekuwa na kesi hii. Kwa vile mhimili mmoja umekuwa godfather wa mihimili mingine ndiyo huu upuuzi tunaoshuhudia mtu mmoja kushitakiwa kutaka kupindua serikali.Mimi muda wote nimekuwa nikisema Lissu aachiwe huru haraka iwezekanavyo na alipwe fidia ya kufungwa kimakosa.
Sijawahi kuweka fidia kama condition ya yeye kuachiwa huru.
Sasa unategemea ataachiwa vipi huru bila DPP ku drop the case? Basically kuikataa nolle prosecution ni kusema Lissu asiachiwe.Nani kang’ang’ania Lissu asiachiwe huru mpaka atapoombwa msamaha?
Inawezekana wewe unanielewa vingine.
Sijasema popote kuwa ni 'disgrace' juu ya Tundu Lissu.
Tundu Lissu hawezi kufuata mkondo ule ule aliousemea Mnyika unaomhusu Mbowe na kesi yake.
Ni vitu viwili tofauti kabisa.
Elewa maana ninayoisemea, siyo hiyo unayokazia wewe.
1. Lissu hana kosa lolote lile. Hakupaswa kukamatwa na kufungwa kwa kutumia hila na uzushi.Sasa unategemea ataachiwa vipi huru bila DPP ku drop the case? Basically kuikataa nolle prosecution ni kusema Lissu asiachiwe.
Hiyo ya kuombwa msamaha na kulipwa fidia imeongelewa sana humu ndani, wewe ukiwa mmoja wao. Inawezekana kuwa hamkuifanya condition ya yeye kuachiwa. Hilo itakuwa nimeunganisha mimi.
Amandla...
Maelezo mareeefu lkn bado Hai haiondoi ukweli kuwa Samia Suluhu Hassan ndiye Rais wa JMT na Amiri Jeshi Mkuu. Samia ndiye anayeunda Serikali, anateua, anatengua, anasaini miswada na sheria mbalimbali na hata bajeti yetu imesainiwa na Samia.
Kama hutaki tuambie Rais ni nani wa kufanya yote hayo...
Pia tambua kuwa sio kila Rais wa nchi anachaguliwa. Anaweza kujiweka madarakani mwenyewe Kama Samia na akawa Rais. Hutaki Hamad nchi
Hapana...nadhani post hii imelenga kupotosha kauli na msimamo wa John Mnyika.
..ukisikiliza press ya Mnyika unapata picha na uelewa tofauti na kinachobishaniwa hapa.
Sasa kwa nini watu wanampa grief Mnyika wakati ndicho alichosema?1. Lissu hana kosa lolote lile. Hakupaswa kukamatwa na kufungwa kwa kutumia hila na uzushi.
Aachiwe huru mara moja. Hiyo sijui nolle…..hayo ni masuala ya kiofisi tu. Sijali sana kuhusu hayo.
La msingi ni Lissu kuachiwa mara moja bila masharti yoyote yale.
Watavyoandika kwenye mafaili yao, sijali.
Sawa.2. Kuhusu fidia, hiyo ni katika ideal situation. Hilo nalitambua.
Hatuna jamii iliyostaarabika kuweza kumlipa fidia mtu aliyefungwa kimakosa kwa sababu ya hila za kisiasa.
Hakuna hata sehemu moja ambapo nimeweka fidia kama condition.
Hatujastaarabika kufikia kiwango hicho.
Nadhani ni kwa sababu katumia neno hekima.Sasa kwa nini watu wanampa grief Mnyika wakati ndicho alichosema?
Sawa.
Amandla...
ila Bashite una nongwa 😂😂Kumbe anajua rais wetu anahekima
Haya sasa waje meza moja tukae
USSR
huna uboss dogo.Mimi sina mtu ninayemwita boss wewe mtekaji, mimi ndio boss mwenyewe.
Ungekuwa wewe ungetumia neno gani? Alichokisema Mnyika ni essentially kuwa kuendelea kumshikilia Lissu ni kukosa hekima. Amekosea wapi katika mazingira yaliyopo sasa?Nadhani ni kwa sababu katumia neno hekima.
Ingekuwa ni mimi, nisingetumia neno hekima maana haliendani kabisa na mazingira yaliyopo sasa.
huna uboss dogo.
njoo tukipe kazj ya kugawa vipeperushi
Huna Tofauti na Yule mgawa maji meza kuu ufipa
Kama kuendelea kumfunga Lissu ni kukosa hekima, je kumkamata na kumfunga kwa sababu za uongo ilikuwa nini?Ungekuwa wewe ungetumia neno gani? Alichokisema Mnyika ni essentially kuwa kuendelea kumshikilia Lissu ni kukosa hekima. Amekosea wapi katika mazingira yaliyopo sasa?
Amandla...
Hilo swali unalo uliza hapa sio mahali pake. Hapa tunazungumzia hali ilivyo sasa. Ningekuwa mimi nisingemkamata. Lakini kwa vile sijui nini kiliwafanya wamkamate, siwezi kusema hawakuwa na hekima. Hivyo hivyo, siwezi pia kusema sababu za kumkamata zilikuwa za uongo. Ninachoweza kusema ni kuwa walipaswa kumuachia mara walipotambua kuwa hazina mashiko. Kwa bahati mbaya sheria za nchini mwetu zinaruhusu mtu kukamatwa kabla ya uchunguzi kukamilishwa. Naamini kama sheria ingekuwa vingine, Lissu asingekamatwa maana serikali ingetakiwa kuthibitisha mahakamani kuwa wana grounds za kumkamata na hilo ni wazi hawana.Kama kuendelea kumfunga Lissu ni kukosa hekima, je kumkamata na kumfunga kwa sababu za uongo ilikuwa nini?
Fundi umekuwa mtu wa ajabu sana siku hizi aisee!!!