Mnyika kama hili ni kweli ama ujitokeze ueleze hadharani au jiuzulu

comte

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Posts
9,019
Reaction score
6,825
1639634446156.png
 
Zitto ni mtu wa controversy, aliwahi tangaza JPM amefariki 2019, alidai Mbowe alihusika na ugaidi, well alidai Lissu anatumika na mabeberu kunyima Tz misaada ila hizo statements zote alikuja kuzi refute baadae!!

So hii tweet yake ichukuliwe with precautions maana anapenda attention zisizo za msingi.
 
Pole Zitto...acha kiherehere Chadema mambo yao wanayasimamia wenyewe, kwa kuweka misimamo kupitia vikao na yanawasilishwa na wahusika. Hua hawatumii consultant kama unavotaka kujifanya wewe kuwa msukuma agenda wa Chadema.
 
Kwa maoni binafsi maadam CHADEMA walisusia kikao ni vizuri wangepuuza content za kikao. Hili la kuanza kujadili kauli za mama + plus request ya Zitto ni sawa tu na wamehudhuria kikao.

Maadam aliyeomba clemency ni zitto wangeacha amalizane na Mama mwenyewe wao wasitoe comment ili kuiweka serikali kwenye dilemma.

Having said that, msemaji wa CHADEMA kwenye hii kesi awe mmoja tu. Sipendi huu utaratibu wa Lema kutoa comment mara Bavicha nao wanachambua kesi clubhouse, zote hizi zinaprovoke tu serikali.

Kuiprovoke serikali kutafanya hata wamnyonge Mbowe thou hana hatia ili tu kuprove a point, sasa kwanini tufike huko wakati diplomasia inaweza solve mambo?
 
Na kuna "wanaharakati"..watakupinga
 
Hizi ni hasira za kuingia chaka siku ya jana. Mchongo wa jana ulionekana wazi na siku si nyingi utasikia mtu fulani akisema 'sina haja ya kuendelea na hii kesi' .
 
Zitto anataka kubadilisha upepo, atuambie ni nyaraka zipi za kesi Chadema ilimkabidhi mzee Mangula, na kama alikabidhiwa kwa sababu zipi? kama alikabidhiwa kuoneshwa vile haki ya watuhumiwa inavyokiukwa na jaji mahakamani kulikuwa na ubaya gani?
 
Kwa maoni binafsi maadam CHADEMA walisusia kikao ni vizuri wangepuuza content za kikao. Hili la kuanza kujadili kauli za mama + plus request ya Zitto ni sawa tu na wamehudhuria kikao.

Maadam aliyeomba clemency ni zitto wangeacha amalizane na Mama mwenyewe wao wasitoe comment ili kuiweka serikali kwenye dilemma.

Having said that, msemaji wa CHADEMA kwenye hii kesi awe mmoja tu. Sipendi huu utaratibu wa Lema kutoa comment mara Bavicha nao wanachambua kesi clubhouse, zote hizi zinaprovoke tu serikali.

Kuiprovoke serikali kutafanya hata wamnyonge Mbowe thou hana hatia ili tu kuprove a point, sasa kwanini tufike huko wakati diplomasia inaweza solve mambo?
Mapendekezo yako ni sahihi lakini Serikali kama ingehitaji ku-balance basi wangekutana na chadema kama walivyoomba. Kuwaita kwenye mkumbo wao ndo wanakataa kwa sababu ni chama kikuu cha upinzani na serikali haitaki kutoa huo mwanya, inataka ione vyama vyote vya upinzani ni sawa.
Ni kweli kwamba kwa kugomea kikao cha jana chadema wamepandisha credit lakini serikali imepandisha hasira kwa sababu haikutegemea kwamba watu watakuja na tafsiri gani. Kumbuka kwamba kuna habari kwamba mashtaka ya Lisu yamefutwa lakini serikali yaweza kuyafufua. Hayo yote yanaonyesha kwamba kuna mchezo wa draft na atakayecheza vizuri anaingia king.
 
Kwa maoni binafsi maadam CHADEMA walisusia kikao ni vizuri wangepuuza content za kikao. Hili la kuanza kujadili kauli za mama + plus request ya Zitto ni sawa tu na wamehudhuria kikao.

Maadam aliyeomba clemency ni zitto wangeacha amalizane na Mama mwenyewe wao wasitoe comment ili kuiweka serikali kwenye dilemma.

Having said that, msemaji wa CHADEMA kwenye hii kesi awe mmoja tu. Sipendi huu utaratibu wa Lema kutoa comment mara Bavicha nao wanachambua kesi clubhouse, zote hizi zinaprovoke tu serikali.

Kuiprovoke serikali kutafanya hata wamnyonge Mbowe thou hana hatia ili tu kuprove a point, sasa kwanini tufike huko wakati diplomasia inaweza solve mambo?
Sijakuelewa, kwangu iko hivi;

1. Chadema hawawezi kuacha kujadili content za kikao kama kikaoni alihusishwa mwenyekiti wao.

2. Zitto amalizane vipi na mama wenyewe kwa issue inayomuhusu mwenyekiti wa Chadema? kwani Chadema haina viongozi?

3. Unaendeleza tabia za kioga ambazo zimetufikisha hapa tulipo, unaendelea kuwafunga watu midomo hutaki uonevu ujadiliwe clubhouse na kwingineko, na mbaya zaidi unataka kuleta precedence ya kuwaogopa wavunjifu wa sheria.

Ni sawa na unapigia chapuo uvunjifu wa sheria unaofanywa wazi na Samia ukitaka aogopwe ili asije kukasirika kwa kusemwa kwa ubaya wake kisa atampa Mbowe adhabu kali.

Samia atuambie, kama anatuongoza kidikteta tujue ili tusimsumbue, lakini akiendelea kusema anaongoza kwa kufuata sheria huku matendo yake ni kinyume na anachohubiri atasemwa tu.

Huu kwangu ni uoga usio na maana kabisa, lazima Samia asemwe kwa ubaya anaomfanyia Mbowe kinyume cha sheria na kama akinuna shauri zake, ikulu sio ofisi ya emotions ni ofisi ya uvumilivu, kama imemshinda awapishe wengine.
 
Kwa maoni binafsi maadam CHADEMA walisusia kikao ni vizuri wangepuuza content za kikao. Hili la kuanza kujadili kauli za mama + plus request ya Zitto ni sawa tu na wamehudhuria kikao.

Maadam aliyeomba clemency ni zitto wangeacha amalizane na Mama mwenyewe wao wasitoe comment ili kuiweka serikali kwenye dilemma.

Having said that, msemaji wa CHADEMA kwenye hii kesi awe mmoja tu. Sipendi huu utaratibu wa Lema kutoa comment mara Bavicha nao wanachambua kesi clubhouse, zote hizi zinaprovoke tu serikali.

Kuiprovoke serikali kutafanya hata wamnyonge Mbowe thou hana hatia ili tu kuprove a point, sasa kwanini tufike huko wakati diplomasia inaweza solve mambo?
Umemsahau na Mdude! Naye huwa anatoa matamko ya kunyoa watu na viwembe!
 
Kwa maoni binafsi maadam CHADEMA walisusia kikao ni vizuri wangepuuza content za kikao. Hili la kuanza kujadili kauli za mama + plus request ya Zitto ni sawa tu na wamehudhuria kikao.

Maadam aliyeomba clemency ni zitto wangeacha amalizane na Mama mwenyewe wao wasitoe comment ili kuiweka serikali kwenye dilemma.

Having said that, msemaji wa CHADEMA kwenye hii kesi awe mmoja tu. Sipendi huu utaratibu wa Lema kutoa comment mara Bavicha nao wanachambua kesi clubhouse, zote hizi zinaprovoke tu serikali.

Kuiprovoke serikali kutafanya hata wamnyonge Mbowe thou hana hatia ili tu kuprove a point, sasa kwanini tufike huko wakati diplomasia inaweza solve mambo?
Ni akili timamu kweli kuzungumzia kunyongwa mtu saa hizi!? Hivi vijana nyie uhai wa mtu umeshachuja (devalued) akilini kwenu. Hata nyati humtetea nyati mwenzao anapotishiwa uhai!
 
Zitto hanaga ujumuishi wa kweli katika fikra, utetezi, na ushirika nje ya waislam na uislam wenyewe kwake ukristo na wakristo ni dekio atalishabikia iwapo lina utopolo na linampa riziki za kutumika. He is against secular state model ya nchi hii.
Japo mimi si shabiki wa Zitto ila la udini unamsingizia na
ni kile wazungu wanaita figment of your imagination unasumbuliwa na Accute Gwajima Admiration Syndrome AGAS
Mkewe mkristo na kama Majaliwa hakumsilimisha
 
unaona eeh, hilo jilissu limekaa huko nje ya nchi kazi yake kubwa ni kuomba pesa ili akale, ndio maana limenenepeana kama pimbi, jitu zima ovyooooooo
Matusi ya Nini Tena. Vyama vya siasa visikujengee chuki kwa binadamu mwenzako ambaye hajawahi hata kukukanyaga kwa bahati mbaya.
 
Pole Zitto...acha kiherehere Chadema mambo yao wanayasimamia wenyewe, kwa kuweka misimamo kupitia vikao na yanawasilishwa na wahusika. Hua hawatumii consultant kama unavotaka kujifanya wewe kuwa msukuma agenda wa Chadema.
HII NDIYO CHADEMA, Sio Mnyika tu Mbowe pia alitoa baraka na Lissu alijua kuwa
 
Back
Top Bottom