Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Huu ni uzushi mtupu sawa na ule wa kusema CHADEMA waliteua wabunge wa viti maalumu kuingia Bungeni. Uhuni uliotumika ndio wanataka kuutumia kwenye hii issue.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani uungwana hapa ni mbowe atoke ndani, kwani nilivyomsikiliza mama anania ya kumaliza hili sakata kiuungwana! tatizo kuna UJUAJI WA KILUGHA ZISIZO NA STAHA! wakakutane na serikali ( raisi ) wayamalize kimya kimya then washikane mikono hadharani kuzima umbea umbea usio na faida kwa Taifa then mambo mengine yaendelee! Suala la kubishana kupitia vyombo vya habari na mitandaoni sioni kama ni hekima, kwangu mimi naona ni ujuaji tuu usio na faida kwa TAIFA na kwa familia ya Mbowe mwenyewe!Kwa maoni binafsi maadam CHADEMA walisusia kikao ni vizuri wangepuuza content za kikao. Hili la kuanza kujadili kauli za mama + plus request ya Zitto ni sawa tu na wamehudhuria kikao.
Maadam aliyeomba clemency ni zitto wangeacha amalizane na Mama mwenyewe wao wasitoe comment ili kuiweka serikali kwenye dilemma.
Having said that, msemaji wa CHADEMA kwenye hii kesi awe mmoja tu. Sipendi huu utaratibu wa Lema kutoa comment mara Bavicha nao wanachambua kesi clubhouse, zote hizi zinaprovoke tu serikali.
Kuiprovoke serikali kutafanya hata wamnyonge Mbowe thou hana hatia ili tu kuprove a point, sasa kwanini tufike huko wakati diplomasia inaweza solve mambo?
Kama ni uzushi Mnyika akanusheHuu ni uzushi mtupu sawa na ule wa kusema CHADEMA waliteua wabunge wa viti maalumu kuingia Bungeni. Uchuni uliotumika ndio wanataka kutumia kwenye hii issue.
Zitto anataka kubadilisha upepo, atuambie ni nyaraka zipi za kesi Chadema ilimkabidhi mzee Mangula, na kama alikabidhiwa kwa sababu zipi? kama alikabidhiwa kuoneshwa vile haki ya watuhumiwa inavyokiukwa na jaji mahakamani kulikuwa na ubaya gani?
Sawasawa Mkuu. Lengo la Zito lilikuwa nini? Maana hata jinsi alivyolizungumzia Ni katika namna ya kuonyesha kuwa Mbowe ana makosa. Tofauti na alivyolizungumzia Mbatia. Na angalia alivyolijibu mama kana kwamba Ni Jambo jepesi vile.wewe unasema mbowe Ni gaidi alafu unazungumzia kuwa Hana heshima unatakaje heshima kwa gaidi? Gaidi akuheshimu ili iweje?Katika Hali ya kawaida kuleta hoja ya mwenyekiti kwenye kikao ambacho chama husika kimesusia ni jambo linalofikirisha na kuzusha maswali mengi.......
Hili jambo linahitaji mjadala mpana na yakinifu kuweza kung'amua yaliyo kwenye mabano......
Kwakweli hii ndo ilikuwa the best way kuhandle ishu hii.Kwa maoni binafsi maadam CHADEMA walisusia kikao ni vizuri wangepuuza content za kikao. Hili la kuanza kujadili kauli za mama + plus request ya Zitto ni sawa tu na wamehudhuria kikao.
Maadam aliyeomba clemency ni zitto wangeacha amalizane na Mama mwenyewe wao wasitoe comment ili kuiweka serikali kwenye dilemma.
Having said that, msemaji wa CHADEMA kwenye hii kesi awe mmoja tu. Sipendi huu utaratibu wa Lema kutoa comment mara Bavicha nao wanachambua kesi clubhouse, zote hizi zinaprovoke tu serikali.
Kuiprovoke serikali kutafanya hata wamnyonge Mbowe thou hana hatia ili tu kuprove a point, sasa kwanini tufike huko wakati diplomasia inaweza solve mambo?
Wanachokera wote makambare wanasharubu hawana mpangilio wa nani azungumze hili na lipo azungumze huye wote sauti ya habariKwa maoni binafsi maadam CHADEMA walisusia kikao ni vizuri wangepuuza content za kikao. Hili la kuanza kujadili kauli za mama + plus request ya Zitto ni sawa tu na wamehudhuria kikao.
Maadam aliyeomba clemency ni zitto wangeacha amalizane na Mama mwenyewe wao wasitoe comment ili kuiweka serikali kwenye dilemma.
Having said that, msemaji wa CHADEMA kwenye hii kesi awe mmoja tu. Sipendi huu utaratibu wa Lema kutoa comment mara Bavicha nao wanachambua kesi clubhouse, zote hizi zinaprovoke tu serikali.
Kuiprovoke serikali kutafanya hata wamnyonge Mbowe thou hana hatia ili tu kuprove a point, sasa kwanini tufike huko wakati diplomasia inaweza solve mambo?
Yaonekana wazi kuwa nawe huiamini takataka hii. Ila wewe na akina Kingai mnateseka sana na kushindwa vibaya kwa juhudi zenu, ndio mnajitahidi kupata pa kutokea. LA KUBUMBA HALINA UHAI.
Katika Hali ya kawaida kuleta hoja ya mwenyekiti kwenye kikao ambacho chama husika kimesusia ni jambo linalofikirisha na kuzusha maswali mengi.......
Hili jambo linahitaji mjadala mpana na yakinifu kuweza kung'amua yaliyo kwenye mabano......
Zitto ni mdini mdini ntarudia hata mara milioni sitabidilisha.Japo mimi si shabiki wa Zitto ila la udini unamsingizia na
ni kile wazungu wanaita figment of your imagination unasumbuliwa na Accute Gwajima Admiration Syndrome AGAS
Mkewe mkristo na kama Majaliwa hakumsilimisha
Ungejaribu kutafuta uhakika kwanza, halafu ndo uweze kujenga hoja ya uhakika. POLELissu yupo ubelgiji anakula Raha hajawah hudhuria mahakamani kuona Mbowe anaumiaje Mnyika yupo kila siku mahakamani na anapata wasaa wa kuzungumza na Mbowe huenda yalikuwa maagizo ya Mbowe kwa mnyika ila lissu yy kakurupuka na kupinga bila kujali km anamuharibia mwenzake
Huyo jamaa ni mpumbavu, yaani eti serikali wanaweza kumnyonga mbowe kisa watu wanajadili clubhouse?Sijakuelewa, kwangu iko hivi;
1. Chadema hawawezi kuacha kujadili content za kikao kama kikaoni alihusishwa mwenyekiti wao.
2. Zitto amalizane vipi na mama wenyewe kwa issue inayomuhusu mwenyekiti wa Chadema? kwani Chadema haina viongozi?
3. Unaendeleza tabia za kioga ambazo zimetufikisha hapa tulipo, unaendelea kuwafunga watu midomo hutaki uonevu ujadiliwe clubhouse na kwingineko, na mbaya zaidi unataka kuleta precedence ya kuwaogopa wavunjifu wa sheria.
Ni sawa na unapigia chapuo uvunjifu wa sheria unaofanywa wazi na Samia ukitaka aogopwe ili asije kukasirika kwa kusemwa kwa ubaya wake kisa atampa Mbowe adhabu kali.
Huu kwangu ni uoga usio na maana kabisa, lazima Samia asemwe kwa ubaya anaomfanyia Mbowe kinyume cha sheria na kama akinuna shauri zake, ikulu sio ofisi ya emotions ni ofisi ya uvumilivu, kama imemshinda awapishe wengine.
Sasa kma unajua mtu anataka heshima alafu nyie hamtaki kushuka, zitto kaenda kutoa hiyo heshima so hta Mbowe angetolewa isingeonekana CHADEMA ni dhaifu maana aliyelialia ni mwingine. So samia wins, CHADEMA wins and zitto wins as a diplomat!!Ni akili timamu kweli kuzungumzia kunyongwa mtu saa hizi!? Hivi vijana nyie uhai wa mtu umeshachuja (devalued) akilini kwenu. Hata nyati humtetea nyati mwenzao anapotishiwa uhai!
Tupunguze mihemko, sasa clubhouse wanamuita jaji Tiganga Jaji wa michongo hivi huyo jaji hta angeamua kuwa partial anaweza kweli kumuachia Mbowe??Huyo jamaa ni mpumbavu, yaani eti serikali wanaweza kumnyonga mbowe kisa watu wanajadili clubhouse?
Then huyo judge atakuwa hana ethics.Walevi wanaropoka wewe unajaa upepo!!!Tupunguze mihemko, sasa clubhouse wanamuita jaji Tiganga Jaji wa michongo hivi huyo jaji hta angeamua kuwa partial anaweza kweli kumuachia Mbowe??
Kule kenya, Rais alimuita Jaji Mkuu mkora!! Aisee toka siku hyo kila kesi serikali inaangushwa!! Provocation zinaleta retaliation. Muda mwingine akili ndogo tu inatosha kumaliza crisis
Sioni cha maana alichoongea Zitto, jana kwenye Mariaspace Lema ndio aliesema CHADEMA walimkabizi Mangula hayo makaratasi ya kesi ya mchongo na sababu ya kumkabizi imetajwa.Zitto anataka kubadilisha upepo, atuambie ni nyaraka zipi za kesi Chadema ilimkabidhi mzee Mangula, na kama alikabidhiwa kwa sababu zipi? kama alikabidhiwa kuoneshwa vile haki ya watuhumiwa inavyokiukwa na jaji mahakamani kulikuwa na ubaya gani?
Kwani kosa la Mbowe hadi aombewe msamaha kwa mama ni lipi? Kwanini msiweke wazi?Kwa maoni binafsi maadam CHADEMA walisusia kikao ni vizuri wangepuuza content za kikao. Hili la kuanza kujadili kauli za mama + plus request ya Zitto ni sawa tu na wamehudhuria kikao.