Kwa maoni binafsi maadam CHADEMA walisusia kikao ni vizuri wangepuuza content za kikao. Hili la kuanza kujadili kauli za mama + plus request ya
Zitto ni sawa tu na wamehudhuria kikao.
Maadam aliyeomba clemency ni zitto wangeacha amalizane na Mama mwenyewe wao wasitoe comment ili kuiweka serikali kwenye dilemma.
Having said that, msemaji wa CHADEMA kwenye hii kesi awe mmoja tu. Sipendi huu utaratibu wa Lema kutoa comment mara Bavicha nao wanachambua kesi clubhouse, zote hizi zinaprovoke tu serikali.
Kuiprovoke serikali kutafanya hata wamnyonge Mbowe thou hana hatia ili tu kuprove a point, sasa kwanini tufike huko wakati diplomasia inaweza solve mambo?