Mnyika kama hili ni kweli ama ujitokeze ueleze hadharani au jiuzulu

Zitto junior
 
Mnyika yupo sahihi,zitto yupo SAHIHI,lissu yupo SAHIHI.
Samia AMEKOSEA.
kwanini umpe MTU kesi ya kupanga?
 
Umeamua tu kujitoa ufahamu au au masikio yako yana matundu lema yeye yuko Canada zito na myika ndo wamekutaana na ndo alichoeleza zito

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zitto kasema wakati anaonhea na Mbowe alikuwa na James Mbowe kama Zitto anaongopa ni rahisi tu James aseme Zitto aliongea nini na Baba yake
 
Zitto kasema wakati anaonhea na Mbowe alikuwa na James Mbowe kama Zitto anaongopa ni rahisi tu James aseme Zitto aliongea nini na Baba yake

Na unataka Chadema wamuambie James Mbowe aongee? Aongee kuwa baba yake hakumkatalia Zitto kufanya juhudi ili aachiwe? Au kuwa baba yake alimtuma Zitto akamuombee msamaha kwa Mheshimiwa Rais?

Amandla...
 
Kesi sio ya chadema ni ya mbowe.mbowe ndiye aliyeshtakiwa,kwahiyo kama mbowe mwenyewe ataona anateseka anao uwezo wakufanya hayo unayosema ili awe huru.
Nafikiri ndo maana Zitto wakati anaongea nae alikuwa na James Mbowe maana familia inataka atoke vyovyote vile ila wanufaika wa chama wanataka wapate milage kwa yeye kukaa ndani tuwe wakweli hakuna anaependa kukaa kule
 
Na unataka Chadema wamuambie James Mbowe aongee? Aongee kuwa baba yake hakumkatalia Zitto kufanya juhudi ili aachiwe? Au kuwa baba yake alimtuma Zitto akamuombee msamaha kwa Mheshimiwa Rais?

Amandla...
Wewe na baadhi ya wenzio wamemshutumu Zitto kaongea uongo na kumsingizia mwenyekiti ila wakati Zitto anaongea na Mbowe James Mbowe alikuwepo kwani hapo si rahisi tu kuthibitisha kwa James kusema Zitto muongo basi asiposema tutajua familia na Mbowe wameridhia
 
Kuna vitu viwili tofauti mna vichanganya. Watu wanapinga yeye kusema kuwa alitumwa kuomba msamaha. Hiyo ni tofauti na kumkubalia aende akadai aachiwe.
Lugha aliyotumia Zitto ndio imezidi kuwafanya watu wakose imani nae. Kusema " mwenzetu" badala ya " Mwenyekiti wa Chadema au Freeman Mbowe", kusema ana matatizo ya kisheria badala ya matatizo ya kisiasa. Maneno hayo ndio yalichangia Mbowe kushutumiwa kuwa ni serial mvunjaji wa sheria. Hamna namna Chadema wangekubali hili.

Amandla...
 
Wanaudhi sana hawa wahuni viroboto na Chawa wa rangi ya zambarau na kijani.
Zitto ni minafiki mjaalaanana mkubwa.
MaCCM Walimteka mzee Mbowe Mwanza , Wamwachie wenyewe huru au wabaki naye tu.
 
Nahisi kuna viongozi wa Chadema kuna namna wananufaika kwa Mbowe kukaa jela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…