Tatizo katika chama changu CCM kwa sasa wamebaki zero brain wote. No more great thinkers that we used to see and hear.
Viongozi wa CCM karibia wote wanachofikiria ni maslahi yao na familia zao tu. Ndiyo maana their first line of defense ni jeshi (polisi), siyo hoja tena kwani wamekuwa mufilisi vichwani mwao.
Imagine sasa wanataka kuiua Chadema.... wanataka wanachama wakaanzishe Umkonto we Sizwe, au? Wanadhani hili likitokea wao watabaki salama? Haiwaingii vichwani mwao (sorry, kumbe ni zero brain).... I mean wameshindwaje hata kupata hofu kwamba Watanzania walionyang'anywa platform ya ku practice their democratic rights wakianzisha armed movement inaweza kupata backing kutoka mataifa ya magharibi halafu tukaishia kuwa na civil war?
Kinachowashinda kukaa meza moja na wapinzani kujadili mustakabali wa nchi yetu ni nini hasa?
CCM inaangamiza nchi kwa kukosa maarifa.