Mnyika: Kuna njama zinasukwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya siasa kuifuta CHADEMA

Mnyika: Kuna njama zinasukwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya siasa kuifuta CHADEMA

Mnapenda kudanganyana nyie bavicha kaburi gani? Mbowe yuko mahabusi mmefanya nini zaidi ya kulalamika kama mke mdogo
Hata kipindi cha jiwe mlibinuka sana, yuko wapi sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukweli ya kwamba CHADEMA wameshindwa kufahamu natural behaviour ya RAIA wa Tanzanai nafikiri vyama vingine vimeshafahamu natural behaviour ya WATANZANIA walivyo ndio maana wanakwenda na TUNES yao.

Kwa life style iliyopo TANZANIA CHADEMA wasahau BACK-UP kutoka kwa RAIA sababu ni kitu hakiwezekani kutokana na HULKA za BONGO.

Kosa la pili CHADEMA wana base sn au wanataka huruma katika JUMUIA ZA KIMATAIFA ukweli ni kwamba hao USA,EUROPEAN hawana msaaada wowote ktk NCHI ambazo sio threat kwao.
Na pia nafikiri CHADEMA hawa jafahamu sijui hizi BALOZI ZOTE especially hizi za US na EUROPEAN they know how GOVERNMENT SYSTEM IS RUNNING IN TANZANIA kwa kupitia CCM.
 
Hata kipindi cha jiwe mlibinuka sana, yuko wapi sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jiwe ccm kaongoza nchi kafa, kaja Mama nae ccm anaongoza nchi, nyie kazi yenu kulialia tuu kama watoto waliotelekezwa na familia zao
 
Back
Top Bottom