Mnyika: Kuna njama zinasukwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya siasa kuifuta CHADEMA

Mnapenda kudanganyana nyie bavicha kaburi gani? Mbowe yuko mahabusi mmefanya nini zaidi ya kulalamika kama mke mdogo
Hata wakati wa Mwendazake mlibisha leo yukowapi?subiri utajua ni kaburi gani.
 
Hata wakati wa Mwendazake mlibisha leo yukowapi?subiri utajua ni kaburi gani.
Kifo ni kawaida kwa binadamu mtu wa miaka 60 amekufa unashangaa, vile vitoto vya miaka 2 vikifa itakuwaje, tulia dawa ikuingie
 
Usitoe siri nje , waache wamuue Mbowe kama walivyopanga ili wajiridhishe kwamba wameua Chadema
 
Chadema imeshajifuta wamebaki domokaya wanaotumiwa na mabeberu. Chama kina mbunge mmoja tu kinataka ku set agenda hazina tija kwa taifa. Hatuwezi kukubali.
 
Tatizo katika chama changu CCM kwa sasa wamebaki zero brain wote. No more great thinkers that we used to see and hear.

Viongozi wa CCM karibia wote wanachofikiria ni maslahi yao na familia zao tu. Ndiyo maana their first line of defense ni jeshi (polisi), siyo hoja tena kwani wamekuwa mufilisi vichwani mwao.

Imagine sasa wanataka kuiua Chadema.... wanataka wanachama wakaanzishe Umkonto we Sizwe, au? Wanadhani hili likitokea wao watabaki salama? Haiwaingii vichwani mwao (sorry, kumbe ni zero brain).... I mean wameshindwaje hata kupata hofu kwamba Watanzania walionyang'anywa platform ya ku practice their democratic rights wakianzisha armed movement inaweza kupata backing kutoka mataifa ya magharibi halafu tukaishia kuwa na civil war?

Kinachowashinda kukaa meza moja na wapinzani kujadili mustakabali wa nchi yetu ni nini hasa?

CCM inaangamiza nchi kwa kukosa maarifa.
 
hivi kwa haya yanayoendelea unadhani nchi hii inatawalika ? hushangai mamaako kawa kiguu na njia ! unajua ni kwanini ?
Mkuu kuna nini kinaendelea??!au hizi tetesi kuwa mama anafata maelekezo tu hatawali kama mwanzo ni kweli??!!kwamba wajeda wanaendesha nchi chini ya Mabeyo!!!!!
 
Mkuu kuna nini kinaendelea??!au hizi tetesi kuwa mama anafata maelekezo tu hatawali kama mwanzo ni kweli??!!kwamba wajeda wanaendesha nchi chini ya Mabeyo!!!!!
Sijui zaidi ila ni wazi mama ni mweupe sana !
 
Tatizo siyo chama, ni polisi kujipendekeza kuingilia mambo ambayo yangejibiwa kwa hoja za kisiasa na maisha yosonge mbele.
Viongozi wa chama wajiandae kupambana kwa hoja badala ya kutegemea polisi, majeshi na hata watumishi wengine wa uma wanaojipendekeza.
 
Na ashindwe

Na wote tuseme amen[emoji120]
 
Hakuna chama pale. Ni zero brain wote. Think-tank wa chama sasa hivi ni IGP Sirro.
 
Hakuna chama pale. Ni zero brain wote. Think-tank wa chama sasa hivi ni IGP Sirro.
Watanzania lazima tuangalie mustakabali mwema wa taifa.
Hizi siasa za matumizi ya nguvu za moja kwa moja hazikuwa utamaduni wetu, hata uhuru ulipatikana bila kumwaga damu. Tunatakiwa kwenda mbele kwa siasa za kistaarabu, wanasiasa na watumishi wa uma wenye uchu na ubinafsi(laweza kuwa kundi dogo) hawatakiwi kupewa nafasi au kuungwa mkono.
 
Aibu kubwa sana !
 
Kuifuta Chama cha siasa lazima kuwepo sababu za kisheria la sivyo utazalisha tatizo zaidi.
 
mm
ekwisha sasa mnafutwa mudasi mrefu mkalilie chooni
 
Bure kabisa wewe,mlisema wakimtia nguvuni mwenyekiti wa chama Cha magaidi hakutakalika nchi hii,Leo Ni wiki ya pili Yuko rumande anakula na kulala kwa kupangiwa.

Chadema ukifika Wakati wa kuifuta itafutwa na kusiwepo mtu wa kulalama.
Mkuu huwa pia wanawawekea pension? Au ni cash cash basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…