LGE2024 Mnyika: Mkipiga kura hakikisheni hamuondoki kwenye vituo

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
896
Reaction score
1,427
Siasa ya kiafrika vichekesho vitupu. Ng'ombe hanenepi siku ya mnada hulishwa vizuri kwa muda mrefu.

Samia anahangaika kutafuta pesa za kumalizia miradi na wanaoitumia hiyo miradi wanawashangaa hawa wanasiasa wetu kwa kutanguliza akili za kuibiwa kura.
 
Mnapenda kuombaomba
Kwa hiyo anavyozunguka
Kutembeza bakuli we hapo unaona ufahari

Ova
 
JAMAA NI MUOGA HATA AKIMUONA PANYA ANAKIMBIA MBALI SANA HALAFU ANAWAAMBIA WATU WAKAE KULINDA KURA WAKATIHUO YEYE ATAKUWA KISHAPIGA KURA NA KURUDI NYUMBANI KWAKE
 
Mnapenda kuombaomba
Kwa hiyo anavyozunguka
Kutembeza bakuli we hapo unaona ufahari

Ova
Wa kutumia ubunifu wetu ni mimi na wewe, tuna mchango gani katika kutafuta pesa ya ziada itakayomnyima sababu za kupanda ndege kwenda kuomba huko ughaibuni?.
 
msidanganyike ndrugu zango,
ukipiga kura nenda nyumbani kusubiri matokeo, ukaidi au kudinda utapigwa virungu 🐒
Tuende nyumbani muibe Kura? Subirini muone Moto wake, hakuna Polisi wa kuwabeba MaCCM mitaa/vijiji Tanzania nzima
 
Kwanini tukishapiga kula tusiende kusali novena?
 
Naona sasa unaingia rasmi kwenye ligi ya akina Tlaatlaah/Mwashamba. Kazi ni moja tu ya kumpamba mama! Hakuna kutumia akili tena kujenga hoja.
 
Naona sasa unaingia rasmi kwenye ligi ya akina Tlaatlaah/Mwashamba. Kazi ni moja tu ya kumpamba mama! Hakuna kutumia akili tena kujenga hoja.
Mama anatumia sana akili, tatizo wale wanaodhani kuna watu wanampamba sana SSH wanalo tatizo la kuidharau jinsia yake wanakariri maisha.

Namtazama Samia na utendaji wake kama rais kwanza na sio kama mwanamama fulani. Aliachiwa ilani na hayati JPM na anaitekeleza kipengele baada ya kipengele sasa kuuona ukweli na kuusema jinsi ulivyo ni haki yangu nikiwa Mtanzania ninayejielewa vyema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…