Sasa ukienda upande huo huna budi uwe mkamilifu katika maelezo yako na kuacha kujificha ficha chini ya sababu za kijinsia ambazo hakuna mtu aliye zizungumzia popote.Mama anatumia sana akili, tatizo wale wanaodhani kuna watu wanampamba sana SSH wanalo tatizo la kuidharau jinsia yake wanakariri maisha.
Namtazama Samia na utendaji wake kama rais kwanza na sio kama mwanamama fulani. Aliachiwa ilani na hayati JPM na anaitekeleza kipengele baada ya kipengele sasa kuuona ukweli na kuusema jinsi ulivyo ni haki yangu nikiwa Mtanzania ninayejielewa vyema.
Samia hana uwezo wa uongozi siyo kwa sababu ya jinsia yake.
