Aiseee!
Basi sawa. Hakuna matatizo.
Huna tofauti yoyote na Tlaatlaah, na wengineo. Sasa nawe nakuchukulia kama "mfu/marehemu"; kwani hakuna kinacho wastua tena katika yanayo tokea ndani ya nchi yetu
Lakini najuwa sababu inayo wafanya muwe wafu kiasi hiki.