Mnyika nenda kasaini,kutakuwa hakuna tena suala la kuitafakari CHADEMA

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
23,234
Reaction score
28,473
Kiburi kiliponza kichwa, kwa chadema kutosaini, huku vyama vyote 18 halali vikisaini makubaliano ya namna ya kuendesha kampeni kimaadili, chadema isije jiona ni mwamba kana kwamba itabembelezwa, hakuna kitu kama hicho!, nasisitiza chadema haita bembelezwa au kuombwa ili itie saini, lake limekwisha, kata funua, tusonge mbele!
 
Sasa why mnapiga makelele na mnajua vyama vingine vipo?

Kwani who is chadema?

Wao hawataki basi waacheni
 
Sasa unalia nini?
 
Huu upendo wenu kwa CHADEMA umeanza lini? Si mnafikiri wananchi hatuna akili ya kufikiria? Time will tell. Endeleeni tu kuwategemea polisi. Ipo siku na wenyewe watawageuka, na hamtaamini macho yenu.
 
Kiburi kiliponza kichwa, kwa chadema kutosaini, huku vyama vyote 18 halali vikisaini makubaliano ya namna ya kuendesha kampeni kimaadili, chadema isije jiona ni mwamba kana kwamba itabembelezwa, hakuna kitu kama hicho!, nasisitiza chadema haita bembelezwa au kuombwa ili itie saini, lake limekwisha, kata funua, tusonge mbele!
Ni hivi, hatuko tayari tena kuendelea kushiriki katika kushiriki chaguzi za kuhuni. Wenye nia ya kuendelea kushiriki huo uhuni endeleeni. Kama mlitarajia mtakuwa mnafanya chaguzi za kihuni na watu wataendelea kushiriki eti kusaka ruzuku ama upuuzi gani sijui, basi mmeukalia. Vyama viko vingi, endeleeni na hivyo vilivyoko tayari kwa huo uhuni wa kudumu.
 
Sasa why mnapiga makelele na mnajua vyama vingine vipo?

Kwani who is chadema?

Wao hawataki basi waacheni
Hata mtoto hufunzwa mara moja, asipoelewa atafundishwa tena, endapo kama hakusikia ataachwa dunia ikamfundishe!
 
Kiburi kiliponza kichwa, kwa chadema kutosaini, huku vyama vyote 18 halali vikisaini makubaliano ya namna ya kuendesha kampeni kimaadili, chadema isije jiona ni mwamba kana kwamba itabembelezwa, hakuna kitu kama hicho!, nasisitiza chadema haita bembelezwa au kuombwa ili itie saini, lake limekwisha, kata funua, tusonge mbele!
Si muendelee na ishu zenu? Uchaguzi haram hatushiriki na tutauharibu
 
Kiburi kiliponza kichwa, kwa chadema kutosaini, huku vyama vyote 18 halali vikisaini makubaliano ya namna ya kuendesha kampeni kimaadili, chadema isije jiona ni mwamba kana kwamba itabembelezwa, hakuna kitu kama hicho!, nasisitiza chadema haita bembelezwa au kuombwa ili itie saini, lake limekwisha, kata funua, tusonge mbele!
Wamefanya jambo jema. Kwa hali ya sasa uchaguzi hauna maana tena Tanzania
 
Kiburi kiliponza kichwa, kwa chadema kutosaini, huku vyama vyote 18 halali vikisaini makubaliano ya namna ya kuendesha kampeni kimaadili, chadema isije jiona ni mwamba kana kwamba itabembelezwa, hakuna kitu kama hicho!, nasisitiza chadema haita bembelezwa au kuombwa ili itie saini, lake limekwisha, kata funua, tusonge mbele!

Ulipenda afanye kama yule mlamba nanihii na wale covid nahii?

GghwtfjXcAAol8f.jpeg
 
Kiburi kiliponza kichwa, kwa chadema kutosaini, huku vyama vyote 18 halali vikisaini makubaliano ya namna ya kuendesha kampeni kimaadili, chadema isije jiona ni mwamba kana kwamba itabembelezwa, hakuna kitu kama hicho!, nasisitiza chadema haita bembelezwa au kuombwa ili itie saini, lake limekwisha, kata funua, tusonge mbele!
Endeleeni na uchaguzi, kwani mmeombwa muwabembeleze..?
 
Kiburi kiliponza kichwa, kwa chadema kutosaini, huku vyama vyote 18 halali vikisaini makubaliano ya namna ya kuendesha kampeni kimaadili, chadema isije jiona ni mwamba kana kwamba itabembelezwa, hakuna kitu kama hicho!, nasisitiza chadema haita bembelezwa au kuombwa ili itie saini, lake limekwisha, kata funua, tusonge mbele!
Chama kimejengwa kwa muda mrefu kinakuja kuuliwa na Hawa matapeli wa kisiasa
 
Kiburi kiliponza kichwa, kwa chadema kutosaini, huku vyama vyote 18 halali vikisaini makubaliano ya namna ya kuendesha kampeni kimaadili, chadema isije jiona ni mwamba kana kwamba itabembelezwa, hakuna kitu kama hicho!, nasisitiza chadema haita bembelezwa au kuombwa ili itie saini, lake limekwisha, kata funua, tusonge mbele!
Chadema wenyewe waliokataa kusaini hawana wasiwasi,
Ina maana wewe unajali sana kuhusu chadema kuliko wenye chama?
 
Maadili gani👆 haya?!
 
Back
Top Bottom