imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 61,235
- 98,463
Tuma kwenye TONE TONE.Na Mimi nimo
Tuma kwenye TONE TONE.Na Mimi nimo
mpaka hapo mmeshaliwa kichwa subirini 2030 mpambane na nchimbiSasa unalia nini?
Hata mtoto hufunzwa mara moja, asipoelewa atafundishwa tena, endapo kama hakusikia ataachwa dunia ikamfundishe!
Wana uzalendo. Hata tukiiga ya China bila uzalendo ni hayahaya ya makaburu wetu weusi, CCMNapenda Demokrasia ya China ona jinsi walivyo mbali kimaendeleo
Ukale wewe na genge lakoTuma kwenye TONE TONE.
Ni hivi, hatuko tayari tena kuendelea kushiriki katika kushiriki chaguzi za kuhuni. Wenye nia ya kuendelea kushiriki huo uhuni endeleeni. Kama mlitarajia mtakuwa mnafanya chaguzi za kihuni na watu wataendelea kushiriki eti kusaka ruzuku ama upuuzi gani sijui, basi mmeukalia. Vyama viko vingi, endeleeni na hivyo vilivyoko tayari kwa huo uhuni wa kudumu.
Mimi kila mwezi natuma 150,000.Ukale wewe na genge lako
Kiburi kiliponza kichwa, kwa chadema kutosaini, huku vyama vyote 18 halali vikisaini makubaliano ya namna ya kuendesha kampeni kimaadili, chadema isije jiona ni mwamba kana kwamba itabembelezwa, hakuna kitu kama hicho!, nasisitiza chadema haita bembelezwa au kuombwa ili itie saini, lake limekwisha, kata funua, tusonge mbele!
Vingine sio vyama ni vikoba kama Chadema ya Mbowe ilivyokuwa Chadema ya vikoba,Kiburi kiliponza kichwa, kwa chadema kutosaini, huku vyama vyote 18 halali vikisaini makubaliano ya namna ya kuendesha kampeni kimaadili, chadema isije jiona ni mwamba kana kwamba itabembelezwa, hakuna kitu kama hicho!, nasisitiza chadema haita bembelezwa au kuombwa ili itie saini, lake limekwisha, kata funua, tusonge mbele!
Mbona kama unalia?😂😂😂😂Kiburi kiliponza kichwa, kwa chadema kutosaini, huku vyama vyote 18 halali vikisaini makubaliano ya namna ya kuendesha kampeni kimaadili, chadema isije jiona ni mwamba kana kwamba itabembelezwa, hakuna kitu kama hicho!, nasisitiza chadema haita bembelezwa au kuombwa ili itie saini, lake limekwisha, kata funua, tusonge mbele!
mpaka hapo mmeshaliwa kichwa subirini 2030 mpambane na nchimbi