Mnyika nenda kasaini,kutakuwa hakuna tena suala la kuitafakari CHADEMA

Kiburi kiliponza kichwa, kwa chadema kutosaini, huku vyama vyote 18 halali vikisaini makubaliano ya namna ya kuendesha kampeni kimaadili, chadema isije jiona ni mwamba kana kwamba itabembelezwa, hakuna kitu kama hicho!, nasisitiza chadema haita bembelezwa au kuombwa ili itie saini, lake limekwisha, kata funua, tusonge mbele!
sidhani kama chadema ina umuhimu wowote kushiriki au kutoshiriki uchaguzi,

na,
in fact haijawahi kua muhimu humu nchini wakati wowote.
Walisusia kikosi kazi kilichoundwa kulingana na 4rs za Dr Samia Suluhu Hassan, na mabadiliko ya sheria mbalimbali yakafanyika vizuri tu ikiwa ni pamoja na sheria za uchaguzi,

na sasa wanasusia uchaguzi ambao vile vile utafanyika vizuri tu kwa mujibu wa katiba, na nchi itasonga mbele pamoja na watanzania wote 🐒
 
Kinachoshangaza mshindani mmoja anaumia na kumbembeleza mshindani cdm aingie nae ulingoni. Mwezako kasema hataki, unaumia nini, chukua credits au huzitaki?!?!?! Kwa njinsi kijani wanavyowazungumzia cdm, huenda kuna jambo, wataalam wa CODES wanalijua!

Hili jambo Aisee hata mimi linanishangaza

Because madhaifu ya chadema yalitakiwa kuwa credit kwa ccm

Ccm wana watu wengi kuliko chadema

But nashangaa kila mwanaccm yuko busy na chadema, wakati wao washasema hawataki

Why wasiwe busy na chauma au cuf?
 
Mimi nilijua kwanzia saivi mtaanza kupambana na hivyoo vyama 18, mnapambana na chama ambacho hakishiriki uchaguzi.
 
Hili jambo Aisee hata mimi linanishangaza

Because madhaifu ya chadema yalitakiwa kuwa credit kwa ccm

Ccm wana watu wengi kuliko chadema

But nashangaa kila mwanaccm yuko busy na chadema, wakati wao washasema hawataki

Why wasiwe busy na chauma au cuf?
Reason mojawapo hapa nafikiri sababu budget ya nchi fulani ni tegemezi.... Ndani yake kuna grants and loans kutoka kwa wahisani..... Kinachofuata watatazama hali ya siasa na chaguzi zake....... Je watafadhili kwa kiwango gani?!?!?( Kilekile au kitashuka ama kisiwepo!?).
 
So kuna ishu ya hela hapo

That's why walikomaa na wakina mdee

Coz me sioni logic ya kupambana na chadema wakati wao washasema hawataki
 
Mimi nafikiri CCM ndiyo mnapaswa kufurahi,maana hamtalazima kuiba kura,mtajipangia wagombea mnaowataka! Mtatumia nguvu kidogo,wapiga kura watakuwa wanajeshi,wanamgambo,majeshi,wanafunzi,wataruhusiwa kupiga vituo zaidi ya vitano,nk
Homa ya CCM ni CHADEMA siyo CCM Bs.
 
Mnyika akisaini maana yake atakuwa anaipinga ile kauli yao ya NO REFORM NO ELECTION.
 
Kiburi kiliponza kichwa, kwa chadema kutosaini, huku vyama vyote 18 halali vikisaini makubaliano ya namna ya kuendesha kampeni kimaadili, chadema isije jiona ni mwamba kana kwamba itabembelezwa, hakuna kitu kama hicho!, nasisitiza chadema haita bembelezwa au kuombwa ili itie saini, lake limekwisha, kata funua, tusonge mbele!
CHADEMA WAMEJITIA 🖕WENYEWE😃😃😃
 
So kuna ishu ya hela hapo

That's why walikomaa na wakina mdee

Coz me sioni logic ya kupambana na chadema wakati wao washasema hawataki
Nimemkumbuka mtu mmoja aliniambia...... "siye kila anayecheka anacheka, wengine usoni wanacheka myoyoni mwao wanalia". Wanashangaa kuvuna magugu ilihali ndicho walichopanda!? Tuhubiri haki na amani kwa pamoja, cha ajabu hawa wanahubiri amani bila haki!?
 
Mtasubiri sana

Chiba tulimpa onyo

Vyama vya siasa sio Chadema pekee
Ni kweli, ila cdm ni chama pekee kisichotaka kugeuzwa tena ngazi wa chaguzi za kishenzi. Hao wengine ni wasindikizaji tu kwenye chaguzi pamoja na wingi wao maana huwa hawaibiwi kura zao. NRNE fullstop.
 
Kiburi kiliponza kichwa, kwa chadema kutosaini, huku vyama vyote 18 halali vikisaini makubaliano ya namna ya kuendesha kampeni kimaadili, chadema isije jiona ni mwamba kana kwamba itabembelezwa, hakuna kitu kama hicho!, nasisitiza chadema haita bembelezwa au kuombwa ili itie saini, lake limekwisha, kata funua, tusonge mbele!
Kwa sheria na katiba ipi..?

Kwani chama cha siasa kinaacha kuwa chama cha siasa kwa kutosaini ujinga unaoitwa "kanuni za uchaguzi mkuu wa mwaka 2025?"

Kipi ni supreme kwa kingine? Katiba au kanuni? Think twice dude....

By the way kwa uchaguzi upi maana kwa mwaka huu tumekubaliana wananchi kuwa kama hakutafanyika reforms za kikatiba na kisheria ktk mfumo wetu wa uchaguzi ili kuwezesha kufanyika kwa chaguzi HURU, za HAKI na WAZI, na za kuaminika na kukubalika na kila mtu, basi wa mwaka huu uchaguzi usukumwe mbele ili tuwe na muda wa kukaa kama taifa na kufanya reforms? Why this is so difficult to understand..???

Mbona nyie viumbe ni wagumu sana wa kuelewa na kukubaliana na ukweli wa ubovu wa mfumo wetu wa uchaguzi aisee? Kwanini mnashindwa kuzisoma alama za nyakati na majira zikiambatana na matukio yanayokupa kila ishara kuwa the CCM game is over...?

Unatishwa na tuvyama uchwara 18 vilivyolipwa hongo za fedha na kuahidiwa kupewa viti viwiliwili vya ubunge na udiwani...?
 
Sasa endeleeni kujidanganya

Vyama vitashiriki na vitapata wawakilishi
 
Wanachi gan mmekubaliana?

Kura tunapiga na mtabaki mnapanua midomo kama mizoga
 
Sasa endeleeni kujidanganya

Vyama vitashiriki na vitapata wawakilishi
Kiliwashinda nini kuwahonga wawakilishi hivyo vyama muda wote, ama homa yenu ilikuwa cdm? Na kwa taarifa yako wala cdm hawapati wivu kwa kuwapa hivyo vyama vyeo kama mtaamua kuwapa, maana cdm wanaweza kupata viti kibao kihalali bila kusubiri hisani ya yoyote.
 
Kiburi kiliponza kichwa, kwa chadema kutosaini, huku vyama vyote 18 halali vikisaini makubaliano ya namna ya kuendesha kampeni kimaadili, chadema isije jiona ni mwamba kana kwamba itabembelezwa, hakuna kitu kama hicho!, nasisitiza chadema haita bembelezwa au kuombwa ili itie saini, lake limekwisha, kata funua, tusonge mbele!
mnyika amekuwa right handman wa mbowe tangu akiwa first year udsm, kusema atafanyakazi nje ya mbowe very royalty was inevitable, hapa dogo kamlengesha Lissu.

Mnyika alijua boss anachemka na akamwacha apuyange. Heche janja sana yule mkurya yeye huwa anaongelea shida za watu na umasikini wao, tofauti na siasa za boss wake za kushambulia watu
 
Back
Top Bottom