Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Kiburi kiliponza kichwa, kwa chadema kutosaini, huku vyama vyote 18 halali vikisaini makubaliano ya namna ya kuendesha kampeni kimaadili, chadema isije jiona ni mwamba kana kwamba itabembelezwa, hakuna kitu kama hicho!, nasisitiza chadema haita bembelezwa au kuombwa ili itie saini, lake limekwisha, kata funua, tusonge mbele!
Sasa unalia nini?Kiburi kiliponza kichwa, kwa chadema kutosaini, huku vyama vyote 18 halali vikisaini makubaliano ya namna ya kuendesha kampeni kimaadili, chadema isije jiona ni mwamba kana kwamba itabembelezwa, hakuna kitu kama hicho!, nasisitiza chadema haita bembelezwa au kuombwa ili itie saini, lake limekwisha, kata funua, tusonge mbele!
Huu upendo wenu kwa CHADEMA umeanza lini? Si mnafikiri wananchi hatuna akili ya kufikiria? Time will tell. Endeleeni tu kuwategemea polisi. Ipo siku na wenyewe watawageuka, na hamtaamini macho yenu.Kiburi kiliponza kichwa, kwa chadema kutosaini, huku vyama vyote 18 halali vikisaini makubaliano ya namna ya kuendesha kampeni kimaadili, chadema isije jiona ni mwamba kana kwamba itabembelezwa, hakuna kitu kama hicho!, nasisitiza chadema haita bembelezwa au kuombwa ili itie saini, lake limekwisha, kata funua, tusonge mbele!
Ni hivi, hatuko tayari tena kuendelea kushiriki katika kushiriki chaguzi za kuhuni. Wenye nia ya kuendelea kushiriki huo uhuni endeleeni. Kama mlitarajia mtakuwa mnafanya chaguzi za kihuni na watu wataendelea kushiriki eti kusaka ruzuku ama upuuzi gani sijui, basi mmeukalia. Vyama viko vingi, endeleeni na hivyo vilivyoko tayari kwa huo uhuni wa kudumu.Kiburi kiliponza kichwa, kwa chadema kutosaini, huku vyama vyote 18 halali vikisaini makubaliano ya namna ya kuendesha kampeni kimaadili, chadema isije jiona ni mwamba kana kwamba itabembelezwa, hakuna kitu kama hicho!, nasisitiza chadema haita bembelezwa au kuombwa ili itie saini, lake limekwisha, kata funua, tusonge mbele!
Hata mtoto hufunzwa mara moja, asipoelewa atafundishwa tena, endapo kama hakusikia ataachwa dunia ikamfundishe!Sasa why mnapiga makelele na mnajua vyama vingine vipo?
Kwani who is chadema?
Wao hawataki basi waacheni
Si muendelee na ishu zenu? Uchaguzi haram hatushiriki na tutauharibuKiburi kiliponza kichwa, kwa chadema kutosaini, huku vyama vyote 18 halali vikisaini makubaliano ya namna ya kuendesha kampeni kimaadili, chadema isije jiona ni mwamba kana kwamba itabembelezwa, hakuna kitu kama hicho!, nasisitiza chadema haita bembelezwa au kuombwa ili itie saini, lake limekwisha, kata funua, tusonge mbele!
Wamefanya jambo jema. Kwa hali ya sasa uchaguzi hauna maana tena TanzaniaKiburi kiliponza kichwa, kwa chadema kutosaini, huku vyama vyote 18 halali vikisaini makubaliano ya namna ya kuendesha kampeni kimaadili, chadema isije jiona ni mwamba kana kwamba itabembelezwa, hakuna kitu kama hicho!, nasisitiza chadema haita bembelezwa au kuombwa ili itie saini, lake limekwisha, kata funua, tusonge mbele!
Kiburi kiliponza kichwa, kwa chadema kutosaini, huku vyama vyote 18 halali vikisaini makubaliano ya namna ya kuendesha kampeni kimaadili, chadema isije jiona ni mwamba kana kwamba itabembelezwa, hakuna kitu kama hicho!, nasisitiza chadema haita bembelezwa au kuombwa ili itie saini, lake limekwisha, kata funua, tusonge mbele!
Endeleeni na uchaguzi, kwani mmeombwa muwabembeleze..?Kiburi kiliponza kichwa, kwa chadema kutosaini, huku vyama vyote 18 halali vikisaini makubaliano ya namna ya kuendesha kampeni kimaadili, chadema isije jiona ni mwamba kana kwamba itabembelezwa, hakuna kitu kama hicho!, nasisitiza chadema haita bembelezwa au kuombwa ili itie saini, lake limekwisha, kata funua, tusonge mbele!
Chama kimejengwa kwa muda mrefu kinakuja kuuliwa na Hawa matapeli wa kisiasaKiburi kiliponza kichwa, kwa chadema kutosaini, huku vyama vyote 18 halali vikisaini makubaliano ya namna ya kuendesha kampeni kimaadili, chadema isije jiona ni mwamba kana kwamba itabembelezwa, hakuna kitu kama hicho!, nasisitiza chadema haita bembelezwa au kuombwa ili itie saini, lake limekwisha, kata funua, tusonge mbele!
Na Mimi nimoKusaini Maadilili haya 👇ni kuyahalalisha
View attachment 3301440
Chadema wenyewe waliokataa kusaini hawana wasiwasi,Kiburi kiliponza kichwa, kwa chadema kutosaini, huku vyama vyote 18 halali vikisaini makubaliano ya namna ya kuendesha kampeni kimaadili, chadema isije jiona ni mwamba kana kwamba itabembelezwa, hakuna kitu kama hicho!, nasisitiza chadema haita bembelezwa au kuombwa ili itie saini, lake limekwisha, kata funua, tusonge mbele!
Napenda Demokrasia ya China ona jinsi walivyo mbali kimaendeleoWamefanya jambo jema. Kwa hali ya sasa uchaguzi hauna maana tena Tanzania