Mnyika nenda kasaini,kutakuwa hakuna tena suala la kuitafakari CHADEMA

Hata mtoto hufunzwa mara moja, asipoelewa atafundishwa tena, endapo kama hakusikia ataachwa dunia ikamfundishe!

Chadema wanajua wanataka nini, na wana plan gani na maisha yao

Na wafuasi wao wamekubali yaliotokea sasa nyie mnapiga makelele ya nini?

Kuna vyama 18 bakini navyo hivyo
 
 

Attachments

  • VID-20241210-WA0000.mp4
    2.4 MB

Upo sawasawa wewe?

Unaelewa maana ya kusaini? Unalalamika kuwa mifumo ni mibovu, halafu unasaini kanuni zilizotokana na hiyo mifumo mibovu, utakuwa na akili wewe?
 
Wao na chama Chao wapo okay na maamuzi yao, ajabu wafia ccm wanalialia mitandaoni.
 
Vingine sio vyama ni vikoba kama Chadema ya Mbowe ilivyokuwa Chadema ya vikoba,
 
Mbona kama unalia?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kinachoshangaza mshindani mmoja anaumia na kumbembeleza mshindani cdm aingie nae ulingoni. Mwezako kasema hataki, unaumia nini, chukua credits au huzitaki?!?!?! Kwa njinsi kijani wanavyowazungumzia cdm, huenda kuna jambo, wataalam wa CODES wanalijua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…