Mnyika nenda kasaini,kutakuwa hakuna tena suala la kuitafakari CHADEMA

Unatumia Kilevi gan ? Liache mara Moja.

Unaota ndoto
 
Akasaini ujingaujinga?
 
Hahahhaha Wasaka Tonge, mnapeana Moyo 😂😂
 

Kusaini KANUNI ZA MADILI.
 
Ni utaahira mkubwa sana kutumia nusu trillion ya kodi zetu kufanya igizo linaloitwa uchaguzi mkuu.
 
Sasa why mnapiga makelele na mnajua vyama vingine vipo?

Kwani who is chadema?

Wao hawataki basi waacheni
Nchimbi ambaye ni katibu mnafiki duniani alishatangaza hata kikiwa chama kimoja watafanya uchaguzi,mfumo wa vyama vingi ni maigizo tu.
 
soon ataanza novena ya miaka mi5 msimbazi
 
Reactions: Tui
Waliosaini maadili na wasiokuwa na maadili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…