Mnyika: Ni miezi 5 sasa NEC hawajajibu barua yangu kuhusu walikopata majina ya Wabunge 19 na nani amesaini fomu zao

Hicho ki despatch ulichoweka ni cha CHadema cha NEC kiko wapi? alichosaini mtu wa CHadema? Mnajitekenya na kujichekesha wenyewe.Hako KA DESPATCH kenu mwaweza kuwa mumejisainia ofisini kwenu

NEC wakipokea kitu huwa wana despatch yao ya NEC iko wapi
Hata neno despatch linakusuta.Anayesaini despatch Ni mtoaji au mpokeaji?
 
Katibu mkuu wa Chadema J J Mnyika amesema ni miezi 5 imepita tangu amwandikie mkurugenzi wa uchaguzi NEC akitaka kujua ni nani alipeleka orodha ya majina ya akina Halima Mdee na wenzake na form zao zilisainiwa na nani pahala alipotakiwa kusaini Katibu mkuu.

J J Mnyika anashangazwa sana na ukimya wa NEC ambao walipokea barua yake tangu 27/11/2020

Ikumbukwe hapa tarehe 10/05/2021 Bawacha wanatimba bungeni kwenda kuwafurusha akina Halima Mdee na wenzake.

Kazi Iendelee!
Chadema skuizi wameacha kwenda Mahakamani kudai haki zao skuizi wanaleta madai yao hapa jf, twitter na youtube, it is good for nothing
 
Hicho ki despatch ulichoweka ni cha CHadema cha NEC kiko wapi? alichosaini mtu wa CHadema? Mnajitekenya na kujichekesha wenyewe.Hako KA DESPATCH kenu mwaweza kuwa mumejisainia ofisini kwenu

NEC wakipokea kitu huwa wana despatch yao ya NEC iko wapi
Unajua maana ya dispatch? Peleka,
send off to a destination or for a purpose.

Sasa NEC walipeleka nini na wapi ili kipokelewe.
 
sasa tunachoka na hizi habari. Miezi mitano na mahakamani kupo chama kinasubiri nini.?
Nadhani hawana ushahidi kwakua hawajaoneshwa hio barua, wangeoneshwa wakawa na ushahidi wangufungua mashtaka.

Au unasemaje sindo sheria ilivyo?
 
Jiwe ndio aliagiza haya yafanyike.Huyu mtu alikuwa muovu na mvunja sheria mkubwa.
 
Katibu mkuu wa Chadema J J Mnyika amesema ni miezi 5 imepita tangu amwandikie mkurugenzi wa uchaguzi NEC akitaka kujua ni nani alipeleka orodha ya majina ya akina Halima Mdee na wenzake na form zao zilisainiwa na nani pahala alipotakiwa kusaini Katibu mkuu.

J J Mnyika anashangazwa sana na ukimya wa NEC ambao walipokea barua yake tangu 27/11/2020

Ikumbukwe hapa tarehe 10/05/2021 Bawacha wanatimba bungeni kwenda kuwafurusha akina Halima Mdee na wenzake.

Kazi Iendelee!
Kwa nini hawaitishi mkutano wa baraza kuu lao kusikiliza rufaa ya hawa akina mama? Majibu ya masuala yote hayo yatatolewa kwenye mkutano huo. Akina Mdee na wenzake walishasema watatoa ukweli wote wa sakata hilo na viambatanisho vyote kwenye kikao hicho cha baraza kuu. Sasa kwa nini Mnyika bado anataka ukweli huu utolewe hadharani kwenye vyombo vya habari kabla ya kikao cha baraza kuu? Anaogopa nini?
 
Kama mnajua hakuna mahakama, hakuna bunge vyote mali ya CCM wewe na Mnyika mnalialia nini mitandaoni!?.. nendeni kwa Samia ndo pa mwisho au waache akina Mdee wale pesa za ubunge.
Wala hawana haja ya kumsumbua Mama SAMIA kwa hilo.Kwa utaratibu wao wanatakiwa walipeleke Baraza kuu ndio litolee uamuzi.Baraza kuu lao la CHADEMA kwa mujibu wa katiba yao

Sasa wao badala ya kulipeleka baraza kuu lao liamue wanataka waruke hicho kipengele wanataka Spika Ndugai na Raisi SAMIA ndio waamue!!! Maajabu ya dunia.Warudi baraza kuu.

Hata wakienda mahakamani mahakama iwaamuru warudi baraza kuu.Hata wakienda NEC inatakiwa NEC iwaamuru warudi baraza kuu hata wakienda Bungeni BUNGE liwarudishe kwenye baraza kuu lao

Baraza kuu lao ndilo lenye maamuzi ambalo wao wanalikwepa kulikoni? kwa nini wanataka kuliruka? Katiba yao waiheshimu

Nimesikia kuna wanawake wa BAWACHA sijui wa Geita NA CHATO wana mpango wa kwenda bungeni kumtaka Spika awatoe akina Mdee.Hayo maandamano yao na kelele zao wazipeleke kwenye baraza kuu lao la CHADEMA sio bungeni ,mahakamani wala kwa Raisi SAMIA.

Baraza kuu lao ndio mwamuzi waliitishe
 
Hicho ki despatch ulichoweka ni cha CHadema cha NEC kiko wapi? alichosaini mtu wa CHadema? Mnajitekenya na kujichekesha wenyewe.Hako KA DESPATCH kenu mwaweza kuwa mumejisainia ofisini kwenu

NEC wakipokea kitu huwa wana despatch yao ya NEC iko wapi

Mpokeaji barua hatumii “dispatch book”. Labda kama anatoa “receipt” kwa kupokea. Maana ya “dispatch” ni kutuma si kupokea.

Dispatch au despatch ni ya mtumaji. Inasainiwa na mpokeaji kuthibitisha kuwa amepokea alichotumiwa. Mtumaji anahitaji ushahidi kuwa mtumiwa amepokea. Na mtumaji ndiye anayetunza ushahidi huo kwa dispatch book yake.

Dispatch book ya NEC inatumika kwa barua zao wanazotuma SIO wanazopokea.
 
Wala hawana haja ya kumsumbua Mama SAMIA kwa hilo.Kwa utaratibu wao wanatakiwa walipeleke Baraza kuu ndio litolee uamuzi.Baraza kuu lao la CHADEMA kwa mujibu wa katiba yao

Sasa wao badala ya kulipeleka baraza kuu lao liamue wanataka waruke hicho kipengele wanataka Spika Ndugai na Raisi SAMIA ndio waamue!!! Maajabu ya dunia.Warudi baraza kuu.

Hata wakienda mahakamani mahakama iwaamuru warudi baraza kuu.Hata wakienda NEC inatakiwa NEC iwaamuru warudi baraza kuu hata wakienda Bungeni BUNGE liwarudishe kwenye baraza kuu lao

Baraza kuu lao ndilo lenye maamuzi ambalo wao wanalikwepa kulikoni? kwa nini wanataka kuliruka? Katiba yao waiheshimu

Nimesikia kuna wanawake wa BAWACHA sijui wa Geita NA CHATO wana mpango wa kwenda bungeni kumtaka Spika awatoe akina Mdee.Hayo maandamano yao na kelele zao wazipeleke kwenye baraza kuu lao la CHADEMA sio bungeni ,mahakamani wala kwa Raisi SAMIA.

Baraza kuu lao ndi mwamuzi waliitishe
... usiwapangie Chadema nini cha kufanya wewe! Jibuni barua hayo ya ndani ya chama hayawahusu!
 
Mpokeaji barua hatumii “dispatch book”. Labda kama anatoa “receipt” kwa kupokea. Maana ya “dispatch” ni kutuma si kupokea.

Dispatch au despatch ni ya mtumaji. Inasainiwa na mpokeaji kuthibitisha kuwa amepokea alichotumiwa. Mtumaji anahitaji ushahidi kuwa mtumiwa amepokea. Na mtumaji ndiye anayetunza ushahidi huo kwa dispatch book yake.

Dispatch book ya NEC inatumika kwa barua zao wanazotuma SIO wanazopokea.
... juha hilo litajulia wapi hayo Mkuu?
 
MNyika na magenge yake waache kelele humu waeleze kikao cha baraza kuu kitafanyika lini? kumaliza hilo swala
 
... usiwapange Chadema nini cha kufanya wewe! Jibuni barua hayo ya ndani ya chama hayawahusu!
Katiba yao ndio inasema hivyo sio swala la mambo ya ndani ni katiba

Wao mbona hukazia kuwa katiba ya nchi izangatiwe.Na ya kwao izingatiwe .Waitishe kikao cha baraza kuu litoe maamuzi kama katiba yao inavyotaka wasiruke ruke kuwa ohh NEC ohh SPIKA ohh RAISI atoe maamuzi!!! Baraza kuu wanaliruka la kwa nini? Wakati katiba inataka hivyo?
 
... waitishe Baraza Kuu ili ipatikane justification ya kusafisha upumbavu wa kuwaingiza Covid-19 Bungeni kihuni? Jibuni barua Baraza litaitishwa hakuna haraka. Ndugai ametegwa akategeka!
 
Back
Top Bottom