Hata neno despatch linakusuta.Anayesaini despatch Ni mtoaji au mpokeaji?Hicho ki despatch ulichoweka ni cha CHadema cha NEC kiko wapi? alichosaini mtu wa CHadema? Mnajitekenya na kujichekesha wenyewe.Hako KA DESPATCH kenu mwaweza kuwa mumejisainia ofisini kwenu
NEC wakipokea kitu huwa wana despatch yao ya NEC iko wapi