Uchaguzi 2020Mnyika: Sakata la Wabunge wa Viti Maalum limehusisha mfumo wa Serikali kufifisha ajenda ya 'Uchaguzi haramu'. Ahoji Nusrat kuteuliwa akiwa gerezani
CHADEMA hawana hoja wamebaki kurukia matukio, sisi mbogamboga tunalinda hadi mafisadi hao covid-19 ndo tushindwe? katiba na sheria sisi hazituhusu alisikika mlevi mmoja akisema.