Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Sheria ya vyama siasa muliyoitunga wenyewe na kuifanyia mabadiliko mwaka 2019 inasema,Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema walieleka barua rasmi kulitaarifu bunge kuhusu kufukuzwa uanachama kwa wabunge 19 walioteuliwa kuwa wabunge wa viti maalum katika bunge la 12
Mnyika ametoa ushahidi huo leo, baada ya Naibu Spika wa bunge kusema kuwa hawana taarifa ya wabunge kufukuzwa uanachama alipokuwa akisikiliza hoja za mbunge wa viti maalum Jesca Kishoa
Barua ya kulitaarifu bunge kukoma kwa uanachama wa wabunge wa viti maalumu zilitumwa mara mbili tofauti ikiwa ni Desemba 1, 2020 na Desemba 19, 2020
View attachment 1761800
Mkubwa umekwoti au kurejea kifungu au ibara gani ya katiba ya CHADEMA..?Sheria ya vyama siasa muliyoitunga wenyewe na kuifanyia mabadiliko mwaka 2019 inasema,
Ukomo wa mwanachama utakoma kama katiba ya chama husika itazingatiwa
Sasa Mnyika katika Katiba yenu kuna kufukuza wanachama ndiyo lakini hiyo katiba yenu imetoa mwanya kama mwanachama asipokubaliana na maamuzi kukata rufaa ngazi ya juu, na ngazi ya juu ikiridhia uanachama wake utakoma rasmi.
Tusizinguke sana, fanyeni kikao chenu kusikiliza rufaa zao then muitimishe mambo..!! Mbona mnatufanyabkama sie watoto?
Halafu wakishinda rufaa zao, huku wamevuliwa ubunge na wengine kuapishwa in their replacement itakuwaje? Rejea kilichotokea kwa wabunge wa viti maalum CUF 2018Mkubwa umekwoti au kurejea kifungu au ibara gani ya katiba ya CHADEMA..?
Au umeandika tu kwa kufuata hisia za kichwa chako..?
A simple logic ya kisheria iko hivi...
Hukumu ya awali ya mahakama hutenguliwa na hukumu inayofuata km kuna rufaa...
Kwa kesi, hukumu ya wabunge hawa 19 wa CHADEMA iko na inakubalika kisheria. Itafutwa na ushindi wa rufaa yao..
Spika na Naibu wa Spika they know this exactly. Kinachofanyika na ubabe na kuvunja sheria na katiba ya nchi kwa makusudi...
Na sisi kama nchi inayoongozwa na katiba na sheria na kukatokea kundi fulani la viongozi kupuuza utaratibu wa kisheria, ujue tunakwenda kuwa nchi ya vurugu...!
Unaongea utadhani hata sheria za shule hujawahi kuzisikia. Ukihukumiwa kifungo ukakata rufaa unaachiwa mpaka rufaa yako isikilizwe?Sheria ya vyama siasa muliyoitunga wenyewe na kuifanyia mabadiliko mwaka 2019 inasema,
Ukomo wa mwanachama utakoma kama katiba ya chama husika itazingatiwa
Sasa Mnyika katika Katiba yenu kuna kufukuza wanachama ndiyo lakini hiyo katiba yenu imetoa mwanya kama mwanachama asipokubaliana na maamuzi kukata rufaa ngazi ya juu, na ngazi ya juu ikiridhia uanachama wake utakoma rasmi.
Tusizinguke sana, fanyeni kikao chenu kusikiliza rufaa zao then muitimishe mambo..!! Mbona mnatufanyabkama sie watoto?
Kosa moja haliwezi kuhalalisha kosa jingine...Halafu wakishinda rufaa zao, huku wamevuliwa ubunge na wengine kuapishwa in their replacement itakuwaje? Rejea kilichotokea kwa wabunge wa viti maalum CUF 2018
Soma post yangu #4 hapo juu...Kwani si walikata rufaa baraza kuu?!!! Je baraza kuu limekaa lini kuridhia kufukuzwa kwao? Tafadhalini JM zingatieni taratibu.
Umekaririshwa ujinga.Sheria ya vyama siasa muliyoitunga wenyewe na kuifanyia mabadiliko mwaka 2019 inasema,
Ukomo wa mwanachama utakoma kama katiba ya chama husika itazingatiwa
Sasa Mnyika katika Katiba yenu kuna kufukuza wanachama ndiyo lakini hiyo katiba yenu imetoa mwanya kama mwanachama asipokubaliana na maamuzi kukata rufaa ngazi ya juu, na ngazi ya juu ikiridhia uanachama wake utakoma rasmi.
Tusizinguke sana, fanyeni kikao chenu kusikiliza rufaa zao then muitimishe mambo..!! Mbona mnatufanyabkama sie watoto?
Ndugai anachokitafuta atakipataKatibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema walieleka barua rasmi kulitaarifu bunge kuhusu kufukuzwa uanachama kwa wabunge 19 walioteuliwa kuwa wabunge wa viti maalum katika bunge la 12
Mnyika ametoa ushahidi huo leo, baada ya Naibu Spika wa bunge kusema kuwa hawana taarifa ya wabunge kufukuzwa uanachama alipokuwa akisikiliza hoja za mbunge wa viti maalum Jesca Kishoa
Barua ya kulitaarifu bunge kukoma kwa uanachama wa wabunge wa viti maalumu zilitumwa mara mbili tofauti ikiwa ni Desemba 1, 2020 na Desemba 19, 2020
View attachment 1761800
Kukata rufaa hakumaanishi hukumu ya kuvuliwa uanachama haijatolewa au haiwezi kutekelezwa ila inatoa nafasi kwa mhukumiwa kujaribu kama anaweza kugeuza hukumu au kufufua kesi upya.Kwani si walikata rufaa baraza kuu?!!! Je baraza kuu limekaa lini kuridhia kufukuzwa kwao? Tafadhalini JM zingatieni taratibu.
Mwizi akihukumiwa kufungwa na akakata rufai akiwa gerezani akisubiri rufai yake huwa anatolewa akala uraiyani akisubiri rufai yake? Kumbuka hata lijualikalo alifukuzwa na ndugu alikataa kumchomoa bungeni? Hukumbuku hays ya juzi tu???Sheria ya vyama siasa muliyoitunga wenyewe na kuifanyia mabadiliko mwaka 2019 inasema,
Ukomo wa mwanachama utakoma kama katiba ya chama husika itazingatiwa
Sasa Mnyika katika Katiba yenu kuna kufukuza wanachama ndiyo lakini hiyo katiba yenu imetoa mwanya kama mwanachama asipokubaliana na maamuzi kukata rufaa ngazi ya juu, na ngazi ya juu ikiridhia uanachama wake utakoma rasmi.
Tusizinguke sana, fanyeni kikao chenu kusikiliza rufaa zao then muitimishe mambo..!! Mbona mnatufanyabkama sie watoto?
Kama kesha fukuzwa na kakata rufaa, basi anaendelea kutumikia adhabu yake mpaka majibu ya rufaa yatoke, Yakiwa negative anaendelea na adhabu yake, Positive anarejeshewa uanachama wakeSheria ya vyama siasa muliyoitunga wenyewe na kuifanyia mabadiliko mwaka 2019 inasema,
Ukomo wa mwanachama utakoma kama katiba ya chama husika itazingatiwa
Sasa Mnyika katika Katiba yenu kuna kufukuza wanachama ndiyo lakini hiyo katiba yenu imetoa mwanya kama mwanachama asipokubaliana na maamuzi kukata rufaa ngazi ya juu, na ngazi ya juu ikiridhia uanachama wake utakoma rasmi.
Tusizinguke sana, fanyeni kikao chenu kusikiliza rufaa zao then muitimishe mambo..!! Mbona mnatufanyabkama sie watoto?
Wanatuchelewesha ,etiSheria ya vyama siasa muliyoitunga wenyewe na kuifanyia mabadiliko mwaka 2019 inasema,
Ukomo wa mwanachama utakoma kama katiba ya chama husika itazingatiwa
Sasa Mnyika katika Katiba yenu kuna kufukuza wanachama ndiyo lakini hiyo katiba yenu imetoa mwanya kama mwanachama asipokubaliana na maamuzi kukata rufaa ngazi ya juu, na ngazi ya juu ikiridhia uanachama wake utakoma rasmi.
Tusizinguke sana, fanyeni kikao chenu kusikiliza rufaa zao then muitimishe mambo..!! Mbona mnatufanyabkama sie watoto?
Wanaweza kuwa wanachama lakini wakawa hawana fursa ya kuteuliwa na chama chao kuwa wabunge wa vitimaalum.Unaongea utadhani hata sheria za shule hujawahi kuzisikia. Ukihukumiwa kifungo ukakata rufaa unaachiwa mpaka rufaa yako isikilizwe?
Iko hivi umehukumiwa,hata kama umekata rufaa,inabidi hukumu yako ya Kwanza itekelezwe,wakati unasubiri matokeo ya rufaa yako.sasa hawa wapo ndani ya bunge,inabidi wawe nje,maana wameishafukuzwa uanachama,matokeo ya rufaa yakiwa tayari,ndio tutajua nje au ndaniKwani si walikata rufaa baraza kuu?!!! Je baraza kuu limekaa lini kuridhia kufukuzwa kwao? Tafadhalini JM zingatieni taratibu.
Kabisa! na ni moja ya kitu kinachochafua sana Legacy yake.Ila Mwendazake hii nchi aliiswaga kama Ng'ombe.