Abby Newton
JF-Expert Member
- Nov 12, 2017
- 1,252
- 2,253
Ukiona mpinzani anatetewa na Ma CCM know obviously there is something fishy.Mkubwa umekwoti au kurejea kifungu au ibara gani ya katiba ya CHADEMA..?
Au umeandika tu kwa kufuata hisia za kichwa chako..?
A simple logic ya kisheria iko hivi...
Hukumu ya awali ya mahakama hutenguliwa na hukumu inayofuata. Na kwa sababu hii mfungwa hawi huru nje ya gereza unless ameshinda rufaa yake...!
Kwa kesi wa wabunge hawa 19 wa CHADEMA, hukumu yao ktk chama chao iko na inakubalika kisheria. Itafutwa na ushindi wa rufaa yao..
Concern yako nadhani ni watasikilizwa lini, au siyo?
Hiyo it's none of our business. Ni mambo yao. Sisi tutazame sheria na katiba yetu tu. Hao wabunge kama wanaona wanachelewa kusikilizwa ili kujua wanachokiita "hatima ya ubunge wao", wanayo fursa pia ya kisheria kuomba uharaka wa kusikilizwa na chama chao..!
Spika na Naibu wa Spika know this truth exactly. Kinachofanyika ni ubabe tu usio na tija wa uvunjivu wa sheria na katiba ya nchi kwa makusudi...
Na sisi kama nchi inayoongozwa na katiba na sheria na kukatokea kundi fulani la viongozi kama hawa kina Hayati Magufuli, Ndugai nk kupuuza utaratibu wa kisheria, ujue tunakwenda kuwa nchi ya vurugu tu...!