Mnyika: Tulipeleka barua za kufukuzwa uanachama Wabunge mara mbili

Ukiona mpinzani anatetewa na Ma CCM know obviously there is something fishy.
 
Umemsikia Naibu Spika vizuri? Umesoma hoja ya Mnyika? Huo ndo unapaswa kuwa mjadala, kuwa barua ilimfikia Spika? Fulstop
 
Hapo kuna ujanja unafanywa na uongozi wa CHADEMA ili kuwazuga wanachama wao. hivi wewe hujiulizi kama kweli wana nia ya kuwafukuza mbona hawasikilizi hizo rufaa zao? Hao wanawake 19 wamewekwa kwenye suspense makusudi ili waendelee kuwa wabunge. Rufaa itasikilizwa baadae sana siyo hivi karibuni.
 
Ninyi ndio watu ambao mimi husoma post zao nimetulia zina logic na weledi kufanya mtu elewe. Congole hapo
Sasa nieleweshe hivi . Je Mnyika akitumia cheo chake kama Katibu akaandika barua na kutia mhuri kuwa mwanachama fulania amefukuzwa na kupoteza uanachama , aidha ndiye hata mwenyekiti wa chama barua yake itatambuliwa kisheria na kumtaka aliyefukuzwa asitende kama mwanachama hadi atakapopambana kuurejesha?
 
Kumbe nyie kwenye chama chenu hamuongozw na Katiba ndiomana mna mfalme billionea
 
Labda walipo ziona walifikiri mna omba kazi za usafi ofisi za bunge.
Ila kna shida kubwa sana bunge la mgogo.
Yaani Kishoa ana kiri kabisa amefukuzwa chama. Betina hataki, anasema yuko bungeni kwa vile ana wakilisha chama.
Hapo hapo spika huwa hawaiti kwa chama chao. Ndugai Mungu ana kuona wewe na Betina wako.
 
Walikosea sana ilitakiwa wakati wa kuipeleka hiyo barua wangekodisha live coveragea TV hahaaa au ndio zama za Jiwe!!
 
Sasa itakuwaje.

Hizo posho waziondoe tu kwenye akaunti zao kabla hazijarudi knyume nyume
 
Hujui unachokisema wewe, ulichoandika hapo ni uharo tupu, hao covid 19 mpaka dakika hii si wanachama wa chadema hilo unapaswa uelewe hivyo, kitendo cha wao kukata rufaa si kwamba kimerejesha uanachama wao Sawa. Uanachama utarejeshwa siku rufaa yao ikisikilizwa na wakashinda. Pia kumbuka rufaa yao inaweza kusikilizwa na wasishinde, so nahitimisha kwa kujulisha kuwa hao covid19 wanaendelea kuwa wabunge si kwa ujanja wa mbowe kuchelewa kusikiliza rufaa yao, Bali wanaendelea kuwa wabunge kwa Sababu marehemu dikiteta magufuli na job ndugai walilewa madaraka kupindukia mpaka wakawa wanaendesha nchi bila kufuata katiba na sheria, nazani utakuwa umeelewa.
 
Jibu hoja, kwann Naibu spika aseme uongo kwamba hawajapokea barua ya chadema ila hali waliipokea?

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Hoja ya Mnyika haipo huko unakokimbilia! Amsema walisha litaarifu Bunge kwa barua kwamba, wabunge 19 wamevuliwa uanachama! Mnyika ametoa kauli hiyo kwa sababu speaker amesema, bunge halina taarifa ya hao wabunge kuvuliwa uanachama! Speaker hajasema kwamba katiba haijazingatiwa, katika kuwavua uanachama!! Kwa hiyo la katiba kufuatwa au kuvunjwa ni hoja tofauti na mada iliyopo hapa!
 
Pia kuna suala la CUF ambapo wabunge walivuliwa ubunge, pamoja na kukata rufaa kwenye chama na mahakamani, speaker aliwatimua akaapisha wapya fasta fasta!
 
Vita ya shetani na malaika, shetani ni mwongo sana na laghai ila Malaika watashinda dhidi ya shetani
 
Hujui unachokisema wewe, ulichoandika hapo ni uharo tupu, hao covid 19 mpaka dakika hii si wanachama wa chadema hilo unapaswa uelewe hivyo, kitendo cha wao kukata rufaa si kwamba kimerejesha uanachama wao Sawa. Uanachama utarejeshwa siku rufaa yao ikisikilizwa na wakashinda. Pia kumbuka rufaa yao inaweza kusikilizwa na wasishinde, so nahitimisha kwa kujulisha kuwa hao covid19 wanaendelea kuwa wabunge si kwa ujanja wa mbowe kuchelewa kusikiliza rufaa yao, Bali wanaendelea kuwa wabunge kwa Sababu marehemu dikiteta magufuli na job ndugai walilewa madaraka kupindukia mpaka wakawa wanaendesha nchi bila kufuata katiba na sheria, nazani utakuwa umeelewa.
Pia kuna suala la CUF ambapo wabunge walivuliwa ubunge, pamoja na kukata rufaa kwenye chama na mahakamani, speaker aliwatimua akaapisha wapya fasta fasta!
Hiyo ilifanyika sababu bunge lilikuwa mfukoni mwa marehemu dikiteta magufuli yaani mambo ya katiba yaliwekwa kando ikawa bunge linaendeshwa kwa mujibu wa dikiteta na sio sheria tena, mtu si mwenyekiti kavamia chama kafukuza wanachama na spika akapokea barua ya mwenyekiti feki na akaifanyia kazi, lkn barua za uongozi halali anazipokea na hazifanyii kazi na akana kuwa hajazipokea yaani hii nchi ilikuwa inaendeshwa kihuni kabisa bila aibu
 
Kabla kuzungumzia hawa kufukuzwa ubunge (uanachama), hebu tuone uteuzi wao... waliteuliwa na CHADEMA?
 
John Mnyika alipaswa kupeleka barua yeye mwenyewe akiambatana na mpiga picha wa video mpaka getini bungeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…