Pre GE2025 Mnyika: Tumealikwa Kwenye Kikao Cha kupitia Kanuni za uchaguzi wa serikali za mitaa lakini hatujapewa Rasimu, Wanachama tunaomba Ushauri wenu!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Bahati nzuri nimebahatika kuwa karibu na very reliable sources of information kutoka kwa power corridors.... Samia na watu wake walikua na matumaini kwamba CHADEMA haitashiriki uchaguzi bila katiba mpya so wakawa wanaandaa mkakati wa kuwakabili wakikinukisha baada ya kususia chaguzi na hizi porojo za msishiriki uchaguzi haziji kwa bahati mbaya...

Nimearifiwa Samia amechangnyikiwa sana na comeback ya Lissu juu ya kuhamasisha watu kujiandaa na uchaguzi na hali ilivyo mtaani inajulikana ndani na nje ya CCM huyu mama ana kibarua kizito mnooo....

Kauli za chadema za kujiandaa na chaguzi zumepeleka sleepless nights huko kizimkazi kuliko watu wanavyodhani.
 
Mtaikuta hukohuko gb18 haiwezi tumwa kwa email, mwende na flash baada ya pesentation mnyonye
 
Relux mbowe atatangaza hamna kushiriki na ukisaliti chama nje
 
Unapoona hivyo unajuwa wazi kwamba CCM wanaendelea na mipango ya kuvuruga hizo chaguzi.

Hakuna la ziada bali kuanza kuwakabili kungali mapema.

Ushauri wangu ni huu:
CHADEMA nendeni kwenye kikao hicho. Tazameni mipango inayotengenezwa kuharibu uchaguzi. Kuweni makini sana kuelewa kinachotengenezwa na vikao hivyo.
Mkisha elewa, nendeni kwa wananchi, waelezeni kila kitu; na muwasihi wananchi wasikubali kuvurugiwa kura zao.

Wananchi pekee ndio wenye uwezo wa kuwapa adabu hawa washenzi CCM. Wakielewa vyema mipango inayofanywa kuharibu chaguzi, wananchi wenyewe watahakikisha haakuna anayevuruga chaguzi hizo..

Lakini ni lazima wananchi wawe na ufahamu mzuri. Elimu hiyo, ni jukumu lenu CHADEMA, kuwafikishia wananchi.
 
Ndoto ya mchana πŸΌπŸ˜„
Nacheka usoni, huku moyoni nikilia.

Hata mimi siyapendi hayo, lakini ikilazimu, yatakuja tu yenyewe. Sasa tufanyeje na hawa akina Omar Bongo wetu hapa!

Hizi haziwezi kuwa ndoto tena. Tutayakaribisha kwa nderemo, ikilazimu.
 
Wawapishe viongozi wengine wanaoweza kufikiri na kuamua Kwa niaba yetu.

Mbona kwenye matumizi ya Ruzuku huwa hawatuombi ushauri?
 
Huo umwagaji wa damu kwa wapinzani uko chaguzi nyingi, ila kwakuwa ww unafaidika na huo uhayawani huwa unaona sawa tu.
Nafaidika na nini ?
Wapi nimefaidika ?
Wapi uliona nafaidika na umwagaji damu ?

Kwahiyo mnataka kumwaga damu ili mfaidike?
 
Nafaidika na nini ?
Wapi nimefaidika ?
Wapi uliona nafaidika na umwagaji damu ?

Kwahiyo mnataka kumwaga damu ili mfaidike?
Hawa waliomwaga damu mbona wanafaidika na uko kimya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…