Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
Bahati nzuri nimebahatika kuwa karibu na very reliable sources of information kutoka kwa power corridors.... Samia na watu wake walikua na matumaini kwamba CHADEMA haitashiriki uchaguzi bila katiba mpya so wakawa wanaandaa mkakati wa kuwakabili wakikinukisha baada ya kususia chaguzi na hizi porojo za msishiriki uchaguzi haziji kwa bahati mbaya...Ni watu wengi sana wanasema wasishiriki uchaguzi lakini kutoshiriki watakuwa wanampa CCM advantage kubwa sana na unaweza kuwa ndiyo mwisho wa CHADEMA. CCM anasurubiri kwa hamu mno wasusie ili aweke vyama bandia bungeni. Najua ni kweli kuwa kwa katiba hii CCM itapora tena ushindi lakini huwezi kujua... wananchi wanaweza kusema liwalo na liwe.
Nimearifiwa Samia amechangnyikiwa sana na comeback ya Lissu juu ya kuhamasisha watu kujiandaa na uchaguzi na hali ilivyo mtaani inajulikana ndani na nje ya CCM huyu mama ana kibarua kizito mnooo....
Kauli za chadema za kujiandaa na chaguzi zumepeleka sleepless nights huko kizimkazi kuliko watu wanavyodhani.