Uchaguzi 2020 Mnyika: Tutateua mgombea anaekubalika, hatutateua mtu kwa kuangalia jinsia yake, elimu yake au uwezo wake wa kifedha

Uchaguzi 2020 Mnyika: Tutateua mgombea anaekubalika, hatutateua mtu kwa kuangalia jinsia yake, elimu yake au uwezo wake wa kifedha

Watatumia kigezo gani kumpata anayekubalika ( LISSU VS MBOWE )?
 
Ok, I'm waiting; mgombea yeyote wa kutoka ndani ya chama nitamuunga mkono, lakini atakaetoka nje.....
 
Suala la kwamba tunamtaka Lisu wala halina mjadala. Cha muhimu tu kwenye kampeni adai tume huru, na ahakikishe anaitaja hiyo tume ya uchaguzi haina uhalali wa kusimamia tena uchaguzi. Afanye afanyalo kuhakikisha imani ndogo iliyobaki ya hiyo tume inatoweka kabisa.
 
Back
Top Bottom