Uchaguzi 2020 Mnyika: Tutateua mgombea anaekubalika, hatutateua mtu kwa kuangalia jinsia yake, elimu yake au uwezo wake wa kifedha

Uchaguzi 2020 Mnyika: Tutateua mgombea anaekubalika, hatutateua mtu kwa kuangalia jinsia yake, elimu yake au uwezo wake wa kifedha

Mnyika ni kidagaa tu hapo chadema! Wenye chama chao wanamuangalia na kucheka bora angekaa kimya tu.

Yani hajifunzi hata kwa yaliyopita.

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Umemsahau membe,amwshawapa sharti la kuungana ili wampitishe kuwa mgombea

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Asimame nani au nani kwa sasa hivi chadema ni takataka tu,kimabaki chama cha mitandaoni tu hasa hapa JF huko uraiani ni Magufuli kwa kwenda mbele
Maumivu ya kichwa huanza taratiiiiibu kisha akili inaruka!
 
Back
Top Bottom