Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni: Katika Mgomo wa wafanyabiashara, kosa la Mwigulu Nchemba ni lipi?

Sikubaliani bali najibu hoja yako.

Sheria ya fedha 2022/2023 ilipitishwa lini? Unaelewa maana lakini?
Ulisikiliza hoja za wafanyabiashara na kufuatilia mjadala humu lakini?
Sheria ya ulazima wa kutoa EFD na fine ya 3-4.5M unajua ilianza lini?

Kwamba kusajili warehouse ni jambo baya?



Nitajie makosa yake sasa.
 
Malalamiko yetu wafanyabiashara mengi ni justifiable, lakini hili la kumlaumu Mwigulu Nchemba bila supporting evidence is ungrounded.
Tatizo ambalo anaweza kuwa nalo Mh Mwigulu ni kwamba possibly kuna watu wana hisia kuwa Mama anampenda. Kupendwa peke yake nako pia huwa kunaibua vita tena kubwa.
Watanzania walitakiwa kuwa POSITIVE sana na mtu huyu kwa sababu ndiye nayeshikila wizara mama.
Hii hali yetu ya kuwa kila mara tunawashambulia viongozi wetu hasa hawa wa ngazi za juu, tunafanya kazi ya kujikaanga kwa mafuta yetu wenyewe kama sangara
 
Sheria alizozikuta ambazo ni kero anaziacha ziendelee kuumiza ili nani aje kuziondoa.

Safari inaishia njiani anashuka kituo kinachofuata.

Mwigulu amesababisha mgomo wa kwanza wa wafanyabiashara nchini.

Malalamiko yalikuepo Enzi za Magufuli mlishindwa kugoma wala kulalamika mlinyany’anywa mitaji leo mtu karuhusu mtoe kero zenu mmegeuka wehu kwa taarifa yako utaendelea kusuburi mpaka ufe
 
Inategemea wewe ni nani ! Kama mpige kura wakawaida na huna nafasi yoyote kwenye nchi endelea kuwachagua unaowapenda
Sina hata muda wa kuwachagua maana hawanavigezo vya kiongozi nnao wataka na kinitengenezea mazingira mazuri kwa ustawi wa maisha yangu
 
Du nimesoma nimesikitika sana na kutetemeka sana na nimeumia sana mkuuu
 
Dah hawa watu wana dhambi sana aisee,inatia huruma sana yaani mfanyabiashara aliyekuwa na mtaji zaidi ya Bilioni leo hii anauza duka la mangi

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Malalamiko yalikuepo Enzi za Magufuli mlishindwa kugoma wala kulalamika mlinyany’anywa mitaji leo mtu karuhusu mtoe kero zenu mmegeuka wehu kwa taarifa yako utaendelea kusuburi mpaka ufe

Mtaelewa taratibu maana ya uongozi bora na Mwigulu Nchemba mfano bora kabisa
 
Malalamiko yalikuepo Enzi za Magufuli mlishindwa kugoma wala kulalamika mlinyany’anywa mitaji leo mtu karuhusu mtoe kero zenu mmegeuka wehu kwa taarifa yako utaendelea kusuburi mpaka ufe
Kumbe ukiwa una madai halali unageuka kuwa mwehu.

Hii sayansi ndo kwaanza naisikia kwako


Mgomo ushatia doa watakatifu wenu wa mchongo.

Tuendelee na mengine
 
Naungana na wewe, kinachosumbua sana, hawa wafanyabiashara wengi ni wababaisha wa kulipa sana katika kulipa kodi. Na ni waowanaoendekeza rishwa kwa TRA. Kilichozungumzawa sana ni rushwa sio mtiririko w mambo kama walivyogoma. Wala rushwa na wafanyabiashara wana lao moja, ingawa sasa wanaumia sababu ya kukwepa kodi halisi na ujanja mwingi wa baadhi ayo.
 

Ukweli mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…