Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Sikubaliani bali najibu hoja yako.Mkuu heshima kwako.
Kwahiyo tunakubaliana tatizo halikuanzia kwake.
Sheria ya fedha 2022/2023 ilipitishwa lini? Unaelewa maana lakini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikubaliani bali najibu hoja yako.Mkuu heshima kwako.
Kwahiyo tunakubaliana tatizo halikuanzia kwake.
Ulisikiliza hoja za wafanyabiashara na kufuatilia mjadala humu lakini?Sikubaliani bali najibu hoja yako.
Sheria ya fedha 2022/2023 ilipitishwa lini? Unaelewa maana lakini?
Tatizo ambalo anaweza kuwa nalo Mh Mwigulu ni kwamba possibly kuna watu wana hisia kuwa Mama anampenda. Kupendwa peke yake nako pia huwa kunaibua vita tena kubwa.Malalamiko yetu wafanyabiashara mengi ni justifiable, lakini hili la kumlaumu Mwigulu Nchemba bila supporting evidence is ungrounded.
Sheria alizozikuta ambazo ni kero anaziacha ziendelee kuumiza ili nani aje kuziondoa.
Safari inaishia njiani anashuka kituo kinachofuata.
Mwigulu amesababisha mgomo wa kwanza wa wafanyabiashara nchini.
Sina hata muda wa kuwachagua maana hawanavigezo vya kiongozi nnao wataka na kinitengenezea mazingira mazuri kwa ustawi wa maisha yanguInategemea wewe ni nani ! Kama mpige kura wakawaida na huna nafasi yoyote kwenye nchi endelea kuwachagua unaowapenda
Du nimesoma nimesikitika sana na kutetemeka sana na nimeumia sana mkuuuUnamjua mfanya biashara kwa jina la Ramadhan Nhtuzwe...[emoji848]
Huyu jamaa alikua mfanya biashara hapo kariakoo, na kwakifupi alikamatiwa mizigo yake na TRA.
Jamaa amefilisika na juzi nilimuona wilayani Urambo mkoa wa Tabora, amefungua duka la kawaida na anauza bidhaa za nyumbani kwa rejareja kama duka la mangi.
Dah hawa watu wana dhambi sana aisee,inatia huruma sana yaani mfanyabiashara aliyekuwa na mtaji zaidi ya Bilioni leo hii anauza duka la mangiUnamjua mfanya biashara kwa jina la Ramadhan Nhtuzwe...[emoji848]
Huyu jamaa alikua mfanya biashara hapo kariakoo, na kwakifupi alikamatiwa mizigo yake na TRA.
Jamaa amefilisika na juzi nilimuona wilayani Urambo mkoa wa Tabora, amefungua duka la kawaida na anauza bidhaa za nyumbani kwa rejareja kama duka la mangi.
Malalamiko yalikuepo Enzi za Magufuli mlishindwa kugoma wala kulalamika mlinyany’anywa mitaji leo mtu karuhusu mtoe kero zenu mmegeuka wehu kwa taarifa yako utaendelea kusuburi mpaka ufe
Tanzania sheria mbovu sana na katiba mbovu sana tena kandamizi na zenye maonevuDah hawa watu wana dhambi sana aisee,inatia huruma sana yaani mfanyabiashara aliyekuwa na mtaji zaidi ya Bilioni leo hii anauza duka la mangi
Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
Kumbe ukiwa una madai halali unageuka kuwa mwehu.Malalamiko yalikuepo Enzi za Magufuli mlishindwa kugoma wala kulalamika mlinyany’anywa mitaji leo mtu karuhusu mtoe kero zenu mmegeuka wehu kwa taarifa yako utaendelea kusuburi mpaka ufe
Naungana na wewe, kinachosumbua sana, hawa wafanyabiashara wengi ni wababaisha wa kulipa sana katika kulipa kodi. Na ni waowanaoendekeza rishwa kwa TRA. Kilichozungumzawa sana ni rushwa sio mtiririko w mambo kama walivyogoma. Wala rushwa na wafanyabiashara wana lao moja, ingawa sasa wanaumia sababu ya kukwepa kodi halisi na ujanja mwingi wa baadhi ayo.Wakuu Salam,
Naomba nitangaze maslahi, mimi ni mfanyabiashara, nipo Kariakoo, nje ya Kariakoo na mkoa wa Pwani.
Malalamiko yetu wafanyabiashara mengi ni justifiable, lakini hili la kumlaumu Mwigulu Nchemba bila supporting evidence is ungrounded.
Kuna watu wanatumia udhaifu wa migogoro ya sheria zilizopo kumgandamiza bila sababu. Mfano;
1. Hoja ya fine ya kutokutoa EFD recept sio ya leo, na hii ilipingwa sana na aliekuwa mbunge wa Muleba Anna Tibaijuka, nilishangaa sana yale mapendekezo, kama kawaida ya bunge letu, papatu papatu hoja ikapita ikawa sheria, kipindi hicho Mwigulu ni Waziri wa mambo ya ndani.
2. Hoja ya ushuru wa malori, Ndugu Chuki anaweza kuwa ana issues personal na Mwigulu na siwezi kuwaingilia, ila kodi ya 2.7M sio kubwa kama anavyodai, kumbuka kubeba ton nne au 10 hadi Mwanza ni zaidI ya 1.5M na hiyo ni non negotiable. Kutaka hiyo gharama iingizwe kwenye diesel ni ku shift tax burden to non beneficiaries, ambayo ni unfair taxing.
3. Hoja za registration of warehouse sio kitu kipya na wengi tumesajili nikiwemo, hoja za umiliki ni jambo jingine, labda tuseme issue ya With holding Tax ndio haijakaa sawa, lakini kulalamika kwamba tusisajili sio Sawa kabisa.
Kwenye ethical business ni lazima usajili store na ulipie usimamizi wake, ikiwa na vigezo vyote. Hii ni excuse ambayo kumlaumu nayo Mwigulu ni ku choose easy victim.
4. Hoja za task force zilikuwepo toka kipindi cha Mwendazake, kwamba tunasumbuliwa hili ni kweli na ni suala la kuweka utaratibu tu wa namna ya ku control, ambayo sikuona sababu ya kumzodoa mwamba vile.
5. Utitiri wa kodi kwenye biashara na mamlaka nyingi zinazosimamia jambo moja ni suala la kurithi na Mwigulu sidhani kama ni wa kulaumiwa 100% , issue hapo ni CCM kuweka na kuunda hizi taasisi kutafutia washkaji wao ulaji.
Kuna kila sababu ya kuunganisha taasisi nyingi sana ili kuondoa usumbufu.
Ni hayo tu, tumuhukumu Mwigulu kwa mengine lakini sio moja kwa moja kwa baadhi ya sheria ambazo amezikuta.
Naungana na wewe, kinachosumbua sana, hawa wafanyabiashara wengi ni wababaisha wa kulipa sana katika kulipa kodi. Na ni waowanaoendekeza rishwa kwa TRA. Kilichozungumzawa sana ni rushwa sio mtiririko w mambo kama walivyogoma. Wala rushwa na wafanyabiashara wana lao moja, ingawa sasa wanaumia sababu ya kukwepa kodi halisi na ujanja mwingi wa baadhi ayo.