Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni: Katika Mgomo wa wafanyabiashara, kosa la Mwigulu Nchemba ni lipi?

Hakuna mfanyabiashara bogus kama wewe.

Wafanyabiadhara halisi kina Freddy Vunjabei tumewasikia wenyewe leo na hata mama Bonge tumemsikia, wewe ni chawa tu wa Mwigulu.
Shida nyingine ni kuwa, tukimtoa Nchemba pale wizarani tumweke nani?



JESUS IS LORD
 
Hakuna mfanyabiashara bogus kama wewe.

Wafanyabiadhara halisi kina Freddy Vunjabei tumewasikia wenyewe leo na hata mama Bonge tumemsikia, wewe ni chawa tu wa Mwigulu.
Itakuwa ni Mwigulu mwenyewe kaamua kuja kujisafisha.

Ni upumbavu wa hali ya juu kuhoji kosa la waziri wa fedha kwenye malalamiko yanayohusiana na idara inayodeal na makusanyo ya malipo yanakwenda serikali.
 
Wale wenzako wanaitwa chawa wa Mama, wewe tukuite chawa wa Kaka!
 
Shida nyingine ni kuwa, tukimtoa Nchemba pale wizarani tumweke nani?



JESUS IS LORD
Na hapa ndipo penye tatizo. Kujiaminisha katika nchi yenyewe watu mil 60 kuwa na group la watu wasiozidi 10 wakibadilishana wizara tu.

Nakataa kabisa kuwa hii nchi haina wasomi wa kuweza kushika wizara tofauti ni hii Mizoga ya kina Mwigulu na wenzie kama yeye.
 
Hizi nchi za ulimwengu wa tatu zina tabu sana. Wote ni walewale tu. Waafrika ni watu fulani wapuuzaji sana. Huwa hawako siriazi kwenye mambo siriazi.


Yesu ni Bwana na Mwokozi
 
Acha kutetea upuuzi wewe,Mwigulu aondoke,viatu vya Hazina havimtoshi,Mwigulu ni janga na tumeliweka hili wazi tangu mwanzo.Ali-messup kwenye tozo,sasa ameshindwa kuisimamia TRA mpaka ameingiza serikali kwenye mgogoro usio wa lazima na wafanyibiashara.Mimi msinamo wangu ni huu,viongozi wafuatao wawe relieved of their duties:-
1.Mkuu wa Wilaya husika
2.Mkuu wa Mkoa husika.
3.Waziri wa Fedha.
4.Waziri wa Viwanda na Biashara.
Wafuatao wajitafakari kama kweli wanatisha katika nafasi zao:-
1.Mbunge husika
2.Diwani husika.
 
Mkuu upo Sawa, kumbuka wakat hiz sheria zinapita tulipinga sana, hakuna alietusikiliza , sasaivi tunapambana na implications... watu walikuwa kimya kama wamepigwa ganzi
Sasa km umegundua mwigulu anapaswa kulaumiwa kwa huo mgomo siufute uzi wako *****
 
Wizara yake ina madudu mengi.
 
Madudu yote hayo yaliyoibuliwa yako chini ya wizara gani?
 
Na huu ndo ujinga wa kiwango cha 5G...
Ukiwa na misimamo kinyume na umma hutoboi, na hii ni kanuni ya milele
Bora nisitoboe tuu kwani lazima nifanye siasa Ili maisha yaende?

Majadiliano ni muhimu ila enforcement ya kuhakikisha Kodi inaliowa ni muhimu zaidi,hakuna Nchi Ina mzaha na Kodi..

Mambo ya Rushwa na harassment za maofisa wa TRA ni mambo madogo yanaweza kushughulikiwa..

Mwisho shida ya Utumishi wa Umma ni kulindana Kwa upuuzi ndio maana unaona Kuna mtu kagongesha gari ya Umma huko anakindwa Sasa Hilo linahitaji kufumua mfumo.
 
Basi rais Samia akutumbue upesi ili usimharibie nchi😁
Kwa taarifa Yako Mimi siko kwenye siasa Wala siko kwenye nafasi yeyote ya kufanya maamuzi,naongea haya kutokana na experience nayoiona mtaani maana siishi mbinguni na Mimi nafanya biashara ya kuzugia pia japo kazi yangu kubwa ni Kilimo sikumbani na shida sana za TRA..

Nachisema wafanyabiashara ninwakwepa Kodi sana ukimbasa Sasa ukamlima faini ndio hivyo vilio vinaanza,ndio maana Mwendazake aliwafilsi..

Hilo la Rushwa Kwa maofisa ni vitu vidogo vinaweza kushughulikiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…