antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida nyingine ni kuwa, tukimtoa Nchemba pale wizarani tumweke nani?Hakuna mfanyabiashara bogus kama wewe.
Wafanyabiadhara halisi kina Freddy Vunjabei tumewasikia wenyewe leo na hata mama Bonge tumemsikia, wewe ni chawa tu wa Mwigulu.
Upuuzi tuu,Mimi sio Mwigulu kwanza Waziri you busy anapata wapi mda wa kushinda kujibu wapuuzi na haters wake mtaani?
Itakuwa ni Mwigulu mwenyewe kaamua kuja kujisafisha.Hakuna mfanyabiashara bogus kama wewe.
Wafanyabiadhara halisi kina Freddy Vunjabei tumewasikia wenyewe leo na hata mama Bonge tumemsikia, wewe ni chawa tu wa Mwigulu.
Kayachume mwenyewe,Nipeni mau yangu kwaza mimi yanga napita kuchukua maua yangu ndio nitachangia mada af wanasimba wote pisheni njia wanaume tunapita hapa
Wale wenzako wanaitwa chawa wa Mama, wewe tukuite chawa wa Kaka!Wakuu Salam,
Naomba nitangaze maslahi, mimi ni mfanyabiashara, nipo Kariakoo, nje ya Kariakoo na mkoa wa Pwani.
Malalamiko yetu wafanyabiashara mengi ni justifiable, lakini hili la kumlaumu Mwigulu Nchemba bila supporting evidence is ungrounded.
Kuna watu wanatumia udhaifu wa migogoro ya sheria zilizopo kumgandamiza bila sababu. Mfano;
1. Hoja ya fine ya kutokutoa EFD recept sio ya leo, na hii ilipingwa sana na aliekuwa mbunge wa Muleba Anna Tibaijuka, nilishangaa sana yale mapendekezo, kama kawaida ya bunge letu, papatu papatu hoja ikapita ikawa sheria, kipindi hicho Mwigulu ni Waziri wa mambo ya ndani.
2. Hoja ya ushuru wa malori, Ndugu Chuki anaweza kuwa ana issues personal na Mwigulu na siwezi kuwaingilia, ila kodi ya 2.7M sio kubwa kama anavyodai, kumbuka kubeba ton nne au 10 hadi Mwanza ni zaidI ya 1.5M na hiyo ni non negotiable. Kutaka hiyo gharama iingizwe kwenye diesel ni ku shift tax burden to non beneficiaries, ambayo ni unfair taxing.
3. Hoja za registration of warehouse sio kitu kipya na wengi tumesajili nikiwemo, hoja za umiliki ni jambo jingine, labda tuseme issue ya With holding Tax ndio haijakaa sawa, lakini kulalamika kwamba tusisajili sio Sawa kabisa.
Kwenye ethical business ni lazima usajili store na ulipie usimamizi wake, ikiwa na vigezo vyote. Hii ni excuse ambayo kumlaumu nayo Mwigulu ni ku choose easy victim.
4. Hoja za task force zilikuwepo toka kipindi cha Mwendazake, kwamba tunasumbuliwa hili ni kweli na ni suala la kuweka utaratibu tu wa namna ya ku control, ambayo sikuona sababu ya kumzodoa mwamba vile.
5. Utitiri wa kodi kwenye biashara na mamlaka nyingi zinazosimamia jambo moja ni suala la kurithi na Mwigulu sidhani kama ni wa kulaumiwa 100% , issue hapo ni CCM kuweka na kuunda hizi taasisi kutafutia washkaji wao ulaji.
Kuna kila sababu ya kuunganisha taasisi nyingi sana ili kuondoa usumbufu.
Ni hayo tu, tumuhukumu Mwigulu kwa mengine lakini sio moja kwa moja kwa baadhi ya sheria ambazo amezikuta.
Na hapa ndipo penye tatizo. Kujiaminisha katika nchi yenyewe watu mil 60 kuwa na group la watu wasiozidi 10 wakibadilishana wizara tu.Shida nyingine ni kuwa, tukimtoa Nchemba pale wizarani tumweke nani?
JESUS IS LORD
Vijana wapo hata humu wenye uwezo mkubwa wa kutuvusha mahali, sema unataka waziri awe mbunge wapi na wapi?Shida nyingine ni kuwa, tukimtoa Nchemba pale wizarani tumweke nani?
JESUS IS LORD
Hizi nchi za ulimwengu wa tatu zina tabu sana. Wote ni walewale tu. Waafrika ni watu fulani wapuuzaji sana. Huwa hawako siriazi kwenye mambo siriazi.Na hapa ndipo penye tatizo. Kujiaminisha katika nchi yenyewe watu mil 60 kuwa na group la watu wasiozidi 10 wakibadilishana wizara tu.
Nakataa kabisa kuwa hii nchi haina wasomi wa kuweza kushika wizara tofauti ni hii Mizoga ya kina Mwigulu na wenzie kama yeye.
Hata wizara zetu sio kwamba zina watu wabovu, bali wanamezwa na mfumo. ccm haijawahi kuwa siriaz na maisha ya watu.Vijana wapo hata humu wenye uwezo mkubwa wa kutuvusha mahali, sema unataka waziri awe mbunge wapi na wapi?
Acha kutetea upuuzi wewe,Mwigulu aondoke,viatu vya Hazina havimtoshi,Mwigulu ni janga na tumeliweka hili wazi tangu mwanzo.Ali-messup kwenye tozo,sasa ameshindwa kuisimamia TRA mpaka ameingiza serikali kwenye mgogoro usio wa lazima na wafanyibiashara.Mimi msinamo wangu ni huu,viongozi wafuatao wawe relieved of their duties:-Wakuu Salam,
Naomba nitangaze maslahi, mimi ni mfanyabiashara, nipo Kariakoo, nje ya Kariakoo na mkoa wa Pwani.
Malalamiko yetu wafanyabiashara mengi ni justifiable, lakini hili la kumlaumu Mwigulu Nchemba bila supporting evidence is ungrounded.
Kuna watu wanatumia udhaifu wa migogoro ya sheria zilizopo kumgandamiza bila sababu. Mfano;
1. Hoja ya fine ya kutokutoa EFD recept sio ya leo, na hii ilipingwa sana na aliekuwa mbunge wa Muleba Anna Tibaijuka, nilishangaa sana yale mapendekezo, kama kawaida ya bunge letu, papatu papatu hoja ikapita ikawa sheria, kipindi hicho Mwigulu ni Waziri wa mambo ya ndani.
2. Hoja ya ushuru wa malori, Ndugu Chuki anaweza kuwa ana issues personal na Mwigulu na siwezi kuwaingilia, ila kodi ya 2.7M sio kubwa kama anavyodai, kumbuka kubeba ton nne au 10 hadi Mwanza ni zaidI ya 1.5M na hiyo ni non negotiable. Kutaka hiyo gharama iingizwe kwenye diesel ni ku shift tax burden to non beneficiaries, ambayo ni unfair taxing.
3. Hoja za registration of warehouse sio kitu kipya na wengi tumesajili nikiwemo, hoja za umiliki ni jambo jingine, labda tuseme issue ya With holding Tax ndio haijakaa sawa, lakini kulalamika kwamba tusisajili sio Sawa kabisa.
Kwenye ethical business ni lazima usajili store na ulipie usimamizi wake, ikiwa na vigezo vyote. Hii ni excuse ambayo kumlaumu nayo Mwigulu ni ku choose easy victim.
4. Hoja za task force zilikuwepo toka kipindi cha Mwendazake, kwamba tunasumbuliwa hili ni kweli na ni suala la kuweka utaratibu tu wa namna ya ku control, ambayo sikuona sababu ya kumzodoa mwamba vile.
5. Utitiri wa kodi kwenye biashara na mamlaka nyingi zinazosimamia jambo moja ni suala la kurithi na Mwigulu sidhani kama ni wa kulaumiwa 100% , issue hapo ni CCM kuweka na kuunda hizi taasisi kutafutia washkaji wao ulaji.
Kuna kila sababu ya kuunganisha taasisi nyingi sana ili kuondoa usumbufu.
Ni hayo tu, tumuhukumu Mwigulu kwa mengine lakini sio moja kwa moja kwa baadhi ya sheria ambazo amezikuta.
Sasa km umegundua mwigulu anapaswa kulaumiwa kwa huo mgomo siufute uzi wako *****Mkuu upo Sawa, kumbuka wakat hiz sheria zinapita tulipinga sana, hakuna alietusikiliza , sasaivi tunapambana na implications... watu walikuwa kimya kama wamepigwa ganzi
Wizara yake ina madudu mengi.Wakuu Salam,
Naomba nitangaze maslahi, mimi ni mfanyabiashara, nipo Kariakoo, nje ya Kariakoo na mkoa wa Pwani.
Malalamiko yetu wafanyabiashara mengi ni justifiable, lakini hili la kumlaumu Mwigulu Nchemba bila supporting evidence is ungrounded.
Kuna watu wanatumia udhaifu wa migogoro ya sheria zilizopo kumgandamiza bila sababu. Mfano;
1. Hoja ya fine ya kutokutoa EFD recept sio ya leo, na hii ilipingwa sana na aliekuwa mbunge wa Muleba Anna Tibaijuka, nilishangaa sana yale mapendekezo, kama kawaida ya bunge letu, papatu papatu hoja ikapita ikawa sheria, kipindi hicho Mwigulu ni Waziri wa mambo ya ndani.
2. Hoja ya ushuru wa malori, Ndugu Chuki anaweza kuwa ana issues personal na Mwigulu na siwezi kuwaingilia, ila kodi ya 2.7M sio kubwa kama anavyodai, kumbuka kubeba ton nne au 10 hadi Mwanza ni zaidI ya 1.5M na hiyo ni non negotiable. Kutaka hiyo gharama iingizwe kwenye diesel ni ku shift tax burden to non beneficiaries, ambayo ni unfair taxing.
3. Hoja za registration of warehouse sio kitu kipya na wengi tumesajili nikiwemo, hoja za umiliki ni jambo jingine, labda tuseme issue ya With holding Tax ndio haijakaa sawa, lakini kulalamika kwamba tusisajili sio Sawa kabisa.
Kwenye ethical business ni lazima usajili store na ulipie usimamizi wake, ikiwa na vigezo vyote. Hii ni excuse ambayo kumlaumu nayo Mwigulu ni ku choose easy victim.
4. Hoja za task force zilikuwepo toka kipindi cha Mwendazake, kwamba tunasumbuliwa hili ni kweli na ni suala la kuweka utaratibu tu wa namna ya ku control, ambayo sikuona sababu ya kumzodoa mwamba vile.
5. Utitiri wa kodi kwenye biashara na mamlaka nyingi zinazosimamia jambo moja ni suala la kurithi na Mwigulu sidhani kama ni wa kulaumiwa 100% , issue hapo ni CCM kuweka na kuunda hizi taasisi kutafutia washkaji wao ulaji.
Kuna kila sababu ya kuunganisha taasisi nyingi sana ili kuondoa usumbufu.
Ni hayo tu, tumuhukumu Mwigulu kwa mengine lakini sio moja kwa moja kwa baadhi ya sheria ambazo amezikuta.
Madudu yote hayo yaliyoibuliwa yako chini ya wizara gani?Wakuu Salam,

Na huu ndo ujinga wa kiwango cha 5G...Mwisho kuchambwa hakuui mtu Wala hakumbadili msimamo,hata ningekuwa Mimi Niko tayarimkuchamvwa ila nikasimama nachoona kinafaa full stop.
Bora nisitoboe tuu kwani lazima nifanye siasa Ili maisha yaende?Na huu ndo ujinga wa kiwango cha 5G...
Ukiwa na misimamo kinyume na umma hutoboi, na hii ni kanuni ya milele
Basi rais Samia akutumbue upesi ili usimharibie nchi😁Bora nisitoboe tuu kwani lazima nifanye siasa Ili maisha yaende?
Kwa taarifa Yako Mimi siko kwenye siasa Wala siko kwenye nafasi yeyote ya kufanya maamuzi,naongea haya kutokana na experience nayoiona mtaani maana siishi mbinguni na Mimi nafanya biashara ya kuzugia pia japo kazi yangu kubwa ni Kilimo sikumbani na shida sana za TRA..Basi rais Samia akutumbue upesi ili usimharibie nchi😁
Acha roho mbaya 😂Kayachume mwenyewe,