mbongopopo
JF-Expert Member
- Jan 24, 2008
- 1,611
- 760
Bunge live kurushwa muda gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pascal Mayalla,
Tuwe wakweli Live ya Ikulu ni muhimu kuliko Live ya Bunge!
uyo jamaa ni mnafiki sema anajaribu kutimia literally work kuonyesha unafiki wakeSema we jamaa bhana.
Ngosha akisoma kichwa na ulivyomtukana humo ndani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Bungeni kuna jipya gani hadi wawe mubashara?...... Haya ya kutaka fulani auwawe!Basi tbc iwe na channel mbili.
Moja live bungeni lingine live ikulu
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenifanya nicheke sanaaaMagu ndio wale madingi wanahesabu mpaka nyama kwenye chungu na njiti za viberiti zilizobaki
Magu ni awamu ya 5!Tangia awamu ya nne imeingia,hakuna kitu kinaitwq utaratibu.Kila mwenye mamlaka anafanya yale yanayompendeza yeye ambayo hayataathiri Jiwe la magogoni.
Ni makosa makubwa kuvunja kipindi kisha kwenda kwenye kitu kingine hata kama ni ikulu live kwa sababu ratiba ya siku inapaswa iwe imepangwa mapema.Haya mambo ya kushtukiza ndio maana kunakuwa na underperformance, wangekuwa wanaiga SABC hawa kwa Africa wana ubora mkubwa katika vipindi vyao. Sisi tunaiga mambo ya kijinga tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vyote ni muhimu, lakini Pascal anachosisitiza hapa ni kuwepo na ratiba ya vipindi ambayo haiingiliani. Kuapisha siyo tukio la dharura, lingeweza kupangwa kuanza saa nne baada ya bunge.Pascal Mayalla,
Tuwe wakweli Live ya Ikulu ni muhimu kuliko Live ya Bunge!
Bunge ndio liangalie kwanza ratiba ya Ikulu kwa siku husika!Vyote ni muhimu, lakini Pascal anachosisitiza hapa ni kuwepo na ratiba ya vipindi ambayo haiingiliani. Kuapisha siyo tukio la dharura, lingeweza kupangwa kuanza saa nne baada ya bunge.
Sent using Jamii Forums mobile app