Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni: Rais Magufuli yupo well-informed na fiti sana kichwani kwa kumbukumbu. Ana data hadi za majungu hatarishi ya ndoa!

Pascal with all due respect,hii slogan ya mnyonge mnyongeni,ila haki yake mpeni,hai-apply kwa Magufuli na haimfai,because he is an extremely tough and good president.Pascal ukiona Rais ameingia kwenye msuguano na Wamarekani ujue he is a good president and is for his people.Wamarekani wakikupenda ujue wanakuibia na wewe ni poyoyo.
 
Kuna mwanazuoni mmoja alisema mhimili unatakiwa uone wivu kupokwa madaraka yake cha kushangaza bunge letu halina wivu na madaraka yake, haka ka Ndugai toka kalivyofisadi pesa za matibabu kamekuwa kanyonge kupita maelezo. Magu anakageuza tu kama chapati za mayai.
 
Kuna mtu fulani anaweza akawa mzuri sana katika eneo fulani na akafanya vizuri kweli lakini ukimtoa ukampeleka sehemu nyingine ukitarajia atakuwa bora zaidi kama ulikomtoa akashindwa na akakuangusha, ndio iko hivyo katika maisha hasa ya utumishi.
 
Usijali mkuu ..so long as kile kiti cha msemaji wa serikali bado hakijajazwa na si vyema kwa PM pia kuwa msemaji wa serikali....basi you are still the best candidate for that post hata zaidi ya aliyekuwa amekikalia...Bwana Akujalie kiti hicho kisikupite.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani kwa kumbu kumbu hizo akikupa kitu huyo hasahau


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Lakini hawajamfuatilia raisi wa Tanzania na hakuna maali alipomtaja Raisi.Si tu deal with RC .
 

KILAZA MKUBWA WEWE. ENGLISH YENYEWE HUJUI KAZI KUJI BARAGUZA. WEWE NI MLAMBA VIATU VYA WANAUME WENZAKO NI AIBU. NGOJA MISAADA YOTE IKATWE NDIO MTATIA AKILI. ENDELEENI KUMU IMBIA MAPAMBIO NA KUM TUKUZA PLUS KUSU JUDU NA KUMU ABUDU .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…