Mnyonyaji 'Panjuani Kibyongo' anatudanganya kaweka 20B halafu tunasajili akina Kapama na Okwa na tunataka kushindana na watu makini kama Yanga SC?

Umeanza tena! Mwaka huu unalo. Suluhisho ni wewe kuanzisha timu yako wewe. Iwe yako, usajili kocha na wachezaji unaowataka ili uchukue ubingwa miaka yote ya uhai wa taifa letu. Vinginevyo utaokota mkopo.
Idiot.
 
Kama ni hivyo msiwe mnapiga mayowe mnapogongeshwa maana ndo uwezo mlionao uwanjani kulingana na aina ya wachezaji mlionao, Msitake matokeo msiyostahili wakati mna timu imejaza kina kibu denis wa kutosha alafu unataka ushindane na yanga iliyowekeza utakuwa na akili au matope kichwani, mkubaliane na matokeo mnayopata kama kanjibhai wenu aweki pesa za usajili na mnamtetea
 
Ndio ukweli wenyewe,huko simba nadhani kuna tatizo ndani..nadhani kuna shida mahali fulani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…